Alijisambaza sanaDuh!! Fey na wewe ulijiachia sana yaani kamkopo kanachotosha kununua Pagare unamuachia boyfrend bila hata kumwambia muende wote kwa muuzaji?
Ila dushele linachanganyaga sana wadada hasa likimkolea
Alijisambaza sanaDuh!! Fey na wewe ulijiachia sana yaani kamkopo kanachotosha kununua Pagare unamuachia boyfrend bila hata kumwambia muende wote kwa muuzaji?
Ila dushele linachanganyaga sana wadada hasa likimkolea
Kumbe angemfanyaje?Pole Sana yaani kakuliza mkopo wa miaka mi5 halafu umemuacha hivi hivi kisa hendisamu?
Baada ya kutapeliwa ilitakiwa akaripoti polisi na kupewa RB ,hiyo siku waliyokutana Dukani ilibidi amjazie NZI kisha angemkamata na kumplekea polisi.
Miuno feni kukata.....Uno la kibao kata, secreto!Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
AlimpendaBaada ya kutapeliwa ilitakiwa akaripoti polisi na kupewa RB ,hiyo siku waliyokutana Dukani ilibidi amjazie NZI kisha angemkamata na kumplekea polisi.
Naunga mkono hoja hamnaga tapel wa hvo inaezekana kuna makubwa yalimsibu sasa kwa sababu watu wanatofautiana kwenye mapokeo ya mambo bas naye alifanya alivojua tapel gan mwaka mzima na anakuhudumia vzurHuyo hajakutapeli mtafute umsikilize,nahisi kuna tatizo lilimkuta as man akaamua kufa na tai shingoni, kama bado hujaolewa mtafutr umsikilize huyo ni mtu mzuri bado naamini hivyo,usihukumu haraka hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
sina uhakika maana sikuwahi kuongea naeUngejaribu kumtafta umsikilize hata msipokuwa wapenzi lakn angalau ujue ilikuaje na ni nn kilimsibu kama angekuwa tapel asingekuona na kuanza kulia kwan tapel anamda wa kulia lakn isitoshe hela ambayo mliitumia ndan ya mda huo sidhan kama inalingana na 5 M kwa mawazo yangu mm lakn hyo so tapel bhana ila n mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejaribu kumtafta umsikilize hata msipokuwa wapenzi lakn angalau ujue ilikuaje na ni nn kilimsibu kama angekuwa tapel asingekuona na kuanza kulia kwan tapel anamda wa kulia lakn isitoshe hela ambayo mliitumia ndan ya mda huo sidhan kama inalingana na 5 M kwa mawazo yangu mm lakn hyo so tapel bhana ila n mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Labda Nimpe nafasi tuongee ila sijui kama naweza kuongea nae bado nina hasira sana
kilichonotokea ni kwamba zile pesa zako na mimi nilitapeliwa..ha ha








Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app



