Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu njoo pm nilipe kwa niaba ya mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana dear.
 
Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee pole ukamuacha huyo mwanaume hivyo hivyo binafsi angejutia kauli yake vita yake muamuzi hakuna.
 
Halafu ni lizuri hatari sio mvivu kitandani, + liko romantic mi ningeotaje mwenzenu mwaka mzima uko na mwanaume anakujali mi ningeota tapeli??/
Halafu unavyo chukiaga watu wanaopenda kubeti sasa!!!
 
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha.
Kumbe wengi huwa mnalizwa baada ya kupigwa mashine tata!!
:-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani elfu 85 mpaka kwa Sir God jamani. Ina maana hukuwahi kumpa zawadi yoyote ya maana?!
Pesa ndogo Kama hiyo.
Wakati wao wanatutapeli mpaka mamilioni kadhaa.!
Mtu anakukopa hela.
Kumdai anaanza kuzunguka zunguka.
Mara kakupa papuchi, na hela yako ndio ntolee hivo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom