Umeshawahi "Kuparamiwa?

Umeshawahi "Kuparamiwa?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
download (1).jpg
naona huu mjadala umeshika kasi kusiko
 
Unamaanisha nini unaposema "kuparamiwa"?

Hilo neno lina uhusiano wowote na 'paramia'?

'Paramia' ambayo maana yake ni kama vile kukwea mti au ukuta kwa haraka haraka bila ya kutumia vipagio ama ngazi?

Au 'paramia' ambayo maana yake ni kuingilia jambo lisilokuhusu?
 
NN actually wanasema you are not sure to sell if you dont market yourself......inatakiwa iwe kupara miwa...lakini nimevutia soko la wachangiaji hapa........huu mjadala unatikisa kwenye post ya kwa nini inaitwa Mbuzi ya MM......NIMEAMUA NiUWEKE HADHARANI wakuu wachangie ....nasubiri kwanza michango.............I will come back to you NN.....
 
Nimependa jinsi ulivyocheza na hilo neno 'kuparamiwa' na @madameX hakuingia kwenye mtego, ila kautegua vizuri sana. Katika lugha ya Kiswahili ipo tofauti kubwa kati ya 'kupara miwa' na 'kuparamiwa'
 
Nimependa jinsi ulivyocheza na hilo neno 'kuparamiwa' na madameX hakuingia kwenye mtego, ila kautegua vizuri sana. Katika lugha ya Kiswahili ipo tofauti kubwa kati ya 'kupara miwa' na 'kuparamiwa'

Issue ni kwenye maongezi. Sijui tunatofautishaje?!
 
Mimi binafsi huwa napenda kuparamia vitu vitamu vitamu kama vyakula n.k lakini sijawahi kuparamiwa
 
Back
Top Bottom