zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 470
- 642
Ngoma ngumu inapasua sehemu korofi, inahimili mazingira ya hovyo ya AfricaNaona wengi wanarudi Kwa kasi Kwenye zilipendwa....kulikoni huko kwenye gari za kisasa....
Hapa nissan alitulia sana. Teknolojia simple, few breaking points.Naona wengi wanarudi Kwa kasi Kwenye zilipendwa....kulikoni huko kwenye gari za kisasa....