Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Koboko aka black mamba mwisho wa mchezo..angalia hapo mzee wa msitu Kama kalishwa togwa hivi,chungu tamu chungu tamu
Huyu Black mamba na Mozambique cobra yupi ni deadliest snake?

Nina kaelimu kidogo juu ya kumtambua nyoka mwenye sumu na asiye na sumu ila sijui nani ni hatari kumliko mwenzake
 
Na wakati akizaa alikuwa anatoa vitoto kimojakimoja kinakuwa ktk kifuko kidogo kisha watoto huinua kichwa kwa nguvu na kutoboa kifuko ndipo hutoka nje na kujilaza ubavuni mwa mama yao ili kupata joto la mama yao aina hii ya nyoka akiona unahatarisha usalama wake huinua mkia wake juu na kutoa mlio mfano wa kile kifaa cha kutikisa mtoto wanapolia anyamaze.

Noma sana
 
Hakika unawajua vyema
 
Huyu Black mamba na Mozambique cobra yupi ni deadliest snake?

Nina kaelimu kidogo juu ya kumtambua nyoka mwenye sumu na asiye na sumu ila sijui nani ni hatari kumliko mwenzake

Black mamba ana sumu kuliko nyoka wote,,mkorofi kuliko wote,Ana speed sana,mrefu pia,Ana uwezo wa kutoa sumu yake kwa watu takribani 10 kwa wakati mmoja hii ni sifa nyingine pia kuliko wengine wote,sababu nyoka anapotoa sumu huwa anatumia nguvu nyingi sana mpaka kurecharge tena,ila yeye kwa speed yake ile ile kwa wakati ule ule..huyu ukikutana nae ni ama zako au zake,ni mkorofi balaa,niulize sasa wanavijiji wanavyomuuwaga wakijua yuko sehemu?

Mozambique cobra siwafahamu sana ila nafahamu cobra kama cobra,hawa sumu zao sio kivile sana,hata speed,spitting pia sio kivilee,ila ni INTELLIGENT hata kwenye kupambana kwao ni strategic sana,alafu ni species wanaoishi sehemu tofauti sana,cobra wengi deadly wanapatikana India while black mamba wanapatikana Africa
Angalia humu pia kuongezea kwa wataalamu


 
Niliawaonaga sana Iringa kule, ni wazembe unaweza mkuta njiani ukaenda kutafuta fimbk kama dk 10 ukarudi na ukamkuta. Pia hata ukimgusa ataondoka taratibu sana hana mbio.

Moja kati ya nyoka wazembe sana
 
Shukrani chief
 
Eti nyoka anapenda stori hivyo tusimuuwe tunapomuona..[emoji2][emoji2]
 
Hawa wana sumu inayoitwa cytotoxins, ni jamii ya sumu inayoua seli na kusababisha eneo lililoumwa kuanza kuoza. Huyu ndiye anaozeshaga watu miguu.
 
Inasemekana mjerumani aliwapandikiza wengi mkoa wa Lindi na baadhi ya maeneo ya Dodoma ili kupambana na panya kwenye groundnut scheme
 
Usikitike kisa nyoka kuuawa,tena kifutu?.
 
Umesema kweli,Mimi pia niliwaona kwa wingi nikiwa Mafinga JKT,nikiwa detach ya Lungemba nilikuwa nawaona kwa wingi,pamoja na chatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…