Tabora wamejaa tele,kijiji kinaitwa Goweko waoa wanamuita Swila nishakumbana nae koboko ndo usiseme wamejaa walimuuwa swahiba wangu mmoja alienda kukata mbao Mungu amrehemu.Bongo tuna Cobra?? Eneo gani?. Ungenambia koboko sawa.
Ndugu yangu siyo kwa Swila yule wa kijani mkubwa na koboko hawa wakishakua wakubwa sana, wanakufuata bila sababu.Ila kweli nyoka wengi huwa hawana habri na sisi binadamu labda mpaka akihisi kuwa yuko kwenye hatar au uki mchokoza.
Nimeishi sehemu zenye nyoka tena wakati wa baridi una wakuta ndani na wala hawalet madhara kwa watu
😂😂😂Mpwa mkali sana sikuhiziAaliyyah,njoo tukeshe Kama unaogopa. Leo Niko lindo nitakulinda na mtutu wa bunduki.
Au unamwogopa mzee wangu Shimba ya Buyenze ?
Swila ndo jina lake kwa kiswahili. Kingereza ndo cobra.Tabora wamejaa tele,kijiji kinaitwa Goweko waoa wanamuita Swila nishakumbana nae koboko ndo usiseme wamejaa walimuuwa swahiba wangu mmoja alienda kukata mbao Mungu amrehemu.
Tai ya kufungia shati shingoni au Tai wa kuruka angani?Huyo fala anajua kujificha kwenye majani hasa mapito ya wanyama, ukimkaribia anarusha mkia na kukuzinga mwili mzima.
Pamoja na hayo adui wa chatu ni tai
Wee huku wapo sema nimewah kuua lakin baada ya tukio Kila nikikaa nahis anakuja nikiguswa hata na kitu kidogo Ilikuwa nakimbia😂😂Sasa unaogopa hewa?
Unajua fika hapo ulipo hakuna nyoka unaogopa nini?
Puuzia huo uoga😂😂😂
Niliwahi kushudia mzee mmoja anakata kichwa cha nyoka..kobra na kwenda nacho homeAisee, mimi naogopa nyoka. Nyoka nawaogopa kiasi kwamba nikimuona tu, naanza kuhisi kuishiwa nguvu kwenye joint zate za miguu. ophidiophobia yangu ni ya kiwango cha juu sana. Hataa huu uzi tuu kuusoma kunanamna umenichukua.
Juzi kati tuu hapa nimesoma habari mtandaoni huko kenye mtoto aling'atwa na kitu usiku wamelala, alivozidiwa wakampeleka hospitali akaenda kufa. Ila wakaambiwa ameng'atwa na nyoka. Walivorudi nyumbani wakamkuta cobra kajizungusha kwenye blanketi walilokuwa wamejifunika. Hiyo habari inanipa wakati mgumu usiku nikilala. Hadi leo.
1. Miaka ya nyuma, kulikuwa na kichaka cha wastani kwenye shamba letu la mihogo. Palikuwa na uvumi kwamba kile kichaka ni makazi ya chatu. Na kuna watu waliwahi kikiri kabisa kumwona chatu akiingia na kutoka kwenye kile kichaka sio mara moja.
Mzee wangu alitafuta watu wa kukifyeka kile kichaka lakini hakupata. Watu waliogopa kujigeuza kitoweo cha chatu kwaajili ya vijisenti.
Mimi wakati huo ndo nmemaliza form four nasubiri matokeo nipo tu home najishughulisha na kazi za shamba. Jioni moja mzee akanichukua tukakifyeke kile kichaka. Niseme tuu kwamba kazi tuliifanya hadi ikaisha na hatukukuta chatu wa dalili ya chatu ila hakuna wakati nmewahi kuuona mgumu maishani mwangu kama wakati tunafyeka kile kichaka.
2. Mwaka 2015 nilikuwa najitolea kufundisha shule moja ya kata. Nilikuwa hosted pale pale shuleni. Kwenye ile nyumba tulikuwa tunaishi watatu, kila mmoja chumba chake tunashea sebule.
Ile shule ilikuwa na hostel. Baadhi ya wanafunzi hasa wa mbali walikuwa wanakaa hostel. Kwahyo walikuwa wajisomea madarasani usiku (Prepo)
Siku hiyo nimeenda kuzurura jioni. Mida ya saa mbili usiku nikarudi. Nikamkuta ticha mwenzangu kakaa sabuleni. Ile nataka kwenda chumbani kwangu akaniambia 'kuna nyoka huko'. Nilikuwa kama nimepigwa shoti ya umeme. Yaani nyoka, chumbani kwangu?!!. Nikamuuliza nimkubwa, akasema ni wa wastani tuu. Yule jamaa ni wale watu wasioogopa nyoka. Lakini kwangu, nyoka ni nyoka.
Nikamuuliza ameingiaje humu. Akaanza kunisimulia. Kwamba alikuwa amekaa pale pale alipokuwa, akasikia kama kitu kinakwaruza kwenye floor. Kutupa jicho akamuona nyoka mweusi anamfukuzia chura. Wametokea nje, wamepita sebuleni wakaenda chumba cha ticha mmoja hakuwepo.
Yeye akaanza kuwafuata kwa nyuma. Baade yule nyoka akahisi anafuatwa, akakurupuka arudi atoke nje. Akakutana uso kwa uso na ticha. Nyoka akabadili uelekeo ndo akaingia chumbani kwangu. Muda huo nasikiliza hiyo story nahisi kuishiwa nguvu kabisa.
Nikamuuliza sasa mbona hujamuua. Akanambia ameita madogo (wanafunzi) waje wamuue. Tunazungumzia nyoka lakini jamaa amekaa kwa kurelax utafikiri tunazungumzia panzi.
Dakika sifuri nikaona vijana wamefika. Kamawatano hivi na silaha za jadi. Wakazama rum wakaanza kumtafuta nyoka. Mi ndo kwanza nikaondoka kabisa. Asije akakurupushwa huko anikimbilie mimi.
Baada ya kama nusu saa nikarudi. Bado wanamsaka. Ile nauliza tu 'hawajampata?' Nikasikia chumbani huyo huyo huyoo.... paa...paa...kii..kii... tayari.
Kwa mashambulizi yale ilikuwa ni mda mfupi tu nyoka akakata kauli. Wakamto sasa. Aisee. Cobra jeusi tii...lirefu unene wa kufikia tairi ya baiskeli. Nilitetemeka balaa. Wakaliweka hapo nje tukaanza kulipiga picha.
Niliingia chumbani kwa hofu kubwa. Chumba kimeparaganyika. Walipoliulia limeacha damu nyingi sana. Damu inatoa haru. Inanuka yani. Nikaifuta nikapanga panga kwa tahadhari kubwa. Siku hiyo nililala kwa shida sana. Usingizi wa mang'amung'amu.
Kama mimi ningekuwa jasiri wa nyoka, ningekuwa nawafuga. Sumu ya nyoka inalipa sana.
Tai ndegeTai ya kufungia shati shingoni au Tai wa kuruka angani?
Elezea vizuri mkuu, sentensi yako ni to (japo siyo tata gari ). View attachment 2627928
Kataa hofu ni mbayaWee huku wapo sema nimewah kuua lakin baada ya tukio Kila nikikaa nahis anakuja nikiguswa hata na kitu kidogo Ilikuwa nakimbia😂😂
SawaKataa hofu ni mbaya
Ndio umenichagulia?
Ahahaha. Ndiyo nipo kwenye kahawa saa hii,hapa jasho linanitoka hatari,kubeba gunia la kilo 60 kuanzia usiku Hadi asubuhi si mchezo.Hubebi gunia za kahawa leo?
Yaa, vile vichwa wanatengenezaga dawa.Niliwahi kushudia mzee mmoja anakata kichwa cha nyoka..kobra na kwenda nacho home
Kwani mkuu kila sehemu ya uvungu inakuwa na joto?Hii ni hadithi za abunuasi.
Unaujua uvungu wa gari wewe?
Joto lote?
Kiboko yake diesel, ikugusa mwili wake anachanika na kukatika vipande.Nyoka ni balaa
Pole Sana. Nyoka ni kiumbe anayetisha Sana hata kimwonekano. Kama mtu anamwogopa nyoka Wala simshangai.Aisee, mimi naogopa nyoka. Nyoka nawaogopa kiasi kwamba nikimuona tu, naanza kuhisi kuishiwa nguvu kwenye joint zate za miguu. ophidiophobia yangu ni ya kiwango cha juu sana. Hataa huu uzi tuu kuusoma kunanamna umenichukua.
Juzi kati tuu hapa nimesoma habari mtandaoni huko kenye mtoto aling'atwa na kitu usiku wamelala, alivozidiwa wakampeleka hospitali akaenda kufa. Ila wakaambiwa ameng'atwa na nyoka. Walivorudi nyumbani wakamkuta cobra kajizungusha kwenye blanketi walilokuwa wamejifunika. Hiyo habari inanipa wakati mgumu usiku nikilala. Hadi leo.
1. Miaka ya nyuma, kulikuwa na kichaka cha wastani kwenye shamba letu la mihogo. Palikuwa na uvumi kwamba kile kichaka ni makazi ya chatu. Na kuna watu waliwahi kikiri kabisa kumwona chatu akiingia na kutoka kwenye kile kichaka sio mara moja.
Mzee wangu alitafuta watu wa kukifyeka kile kichaka lakini hakupata. Watu waliogopa kujigeuza kitoweo cha chatu kwaajili ya vijisenti.
Mimi wakati huo ndo nmemaliza form four nasubiri matokeo nipo tu home najishughulisha na kazi za shamba. Jioni moja mzee akanichukua tukakifyeke kile kichaka. Niseme tuu kwamba kazi tuliifanya hadi ikaisha na hatukukuta chatu wa dalili ya chatu ila hakuna wakati nmewahi kuuona mgumu maishani mwangu kama wakati tunafyeka kile kichaka.
2. Mwaka 2015 nilikuwa najitolea kufundisha shule moja ya kata. Nilikuwa hosted pale pale shuleni. Kwenye ile nyumba tulikuwa tunaishi watatu, kila mmoja chumba chake tunashea sebule.
Ile shule ilikuwa na hostel. Baadhi ya wanafunzi hasa wa mbali walikuwa wanakaa hostel. Kwahyo walikuwa wajisomea madarasani usiku (Prepo)
Siku hiyo nimeenda kuzurura jioni. Mida ya saa mbili usiku nikarudi. Nikamkuta ticha mwenzangu kakaa sabuleni. Ile nataka kwenda chumbani kwangu akaniambia 'kuna nyoka huko'. Nilikuwa kama nimepigwa shoti ya umeme. Yaani nyoka, chumbani kwangu?!!. Nikamuuliza nimkubwa, akasema ni wa wastani tuu. Yule jamaa ni wale watu wasioogopa nyoka. Lakini kwangu, nyoka ni nyoka.
Nikamuuliza ameingiaje humu. Akaanza kunisimulia. Kwamba alikuwa amekaa pale pale alipokuwa, akasikia kama kitu kinakwaruza kwenye floor. Kutupa jicho akamuona nyoka mweusi anamfukuzia chura. Wametokea nje, wamepita sebuleni wakaenda chumba cha ticha mmoja hakuwepo.
Yeye akaanza kuwafuata kwa nyuma. Baade yule nyoka akahisi anafuatwa, akakurupuka arudi atoke nje. Akakutana uso kwa uso na ticha. Nyoka akabadili uelekeo ndo akaingia chumbani kwangu. Muda huo nasikiliza hiyo story nahisi kuishiwa nguvu kabisa.
Nikamuuliza sasa mbona hujamuua. Akanambia ameita madogo (wanafunzi) waje wamuue. Tunazungumzia nyoka lakini jamaa amekaa kwa kurelax utafikiri tunazungumzia panzi.
Dakika sifuri nikaona vijana wamefika. Kamawatano hivi na silaha za jadi. Wakazama rum wakaanza kumtafuta nyoka. Mi ndo kwanza nikaondoka kabisa. Asije akakurupushwa huko anikimbilie mimi.
Baada ya kama nusu saa nikarudi. Bado wanamsaka. Ile nauliza tu 'hawajampata?' Nikasikia chumbani huyo huyo huyoo.... paa...paa...kii..kii... tayari.
Kwa mashambulizi yale ilikuwa ni mda mfupi tu nyoka akakata kauli. Wakamto sasa. Aisee. Cobra jeusi tii...lirefu unene wa kufikia tairi ya baiskeli. Nilitetemeka balaa. Wakaliweka hapo nje tukaanza kulipiga picha.
Niliingia chumbani kwa hofu kubwa. Chumba kimeparaganyika. Walipoliulia limeacha damu nyingi sana. Damu inatoa haru. Inanuka yani. Nikaifuta nikapanga panga kwa tahadhari kubwa. Siku hiyo nililala kwa shida sana. Usingizi wa mang'amung'amu.
Kama mimi ningekuwa jasiri wa nyoka, ningekuwa nawafuga. Sumu ya nyoka inalipa sana.
Wanasema na mafuta ya taa ngozi inabandukaKiboko yake diesel, ikugusa mwili wake anachanika na kukatika vipande.