safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,192
- 15,886
Roho ndo kila kitu.Vipi kuhusu wanaochomwa moto hadi kubaki majivu,, au wanaoliwa na samaki baharini hao adhabu ya kwenye kaburi wanaipata vipi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwili na roho.
Mwili ni ganda tu.
Roho ndo injini ya uhai yenyewe ambayo inakufanya ujione ni wewe.
Si ushawahi kuona mtu mguu umepararaizi anauona kabisa mguu wake huo hapo lakini hamna liwalo.
Na ukifa ndo hivyo hivyo mkuu,utauona mwili wako huo hapo lakini roho ndo itakufanya ujione hivyo.
Si umeshawahi kuota mko watu watatu mnakimbizwa alafu kila mmoja akaenda njia yake na wewe ukaenda njia yako?
Alafu unajiona wewe unakimbiaa kwenye ndoto na unawaona wale wenzio wote wanakimbia wakati hukwenda nao njia moja,kifo kipo na kuna maisha baada ya kifo.
Ukifikiria sana utajua kwa nini kifo.
Kifo ni kama recycling .unatoka stage moja unaenda ingine.