Umeshawahi fikiria usiku wako wa kwanza kaburini?

Vipi kuhusu wanaochomwa moto hadi kubaki majivu,, au wanaoliwa na samaki baharini hao adhabu ya kwenye kaburi wanaipata vipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho ndo kila kitu.

Kuna mwili na roho.
Mwili ni ganda tu.

Roho ndo injini ya uhai yenyewe ambayo inakufanya ujione ni wewe.

Si ushawahi kuona mtu mguu umepararaizi anauona kabisa mguu wake huo hapo lakini hamna liwalo.

Na ukifa ndo hivyo hivyo mkuu,utauona mwili wako huo hapo lakini roho ndo itakufanya ujione hivyo.

Si umeshawahi kuota mko watu watatu mnakimbizwa alafu kila mmoja akaenda njia yake na wewe ukaenda njia yako?

Alafu unajiona wewe unakimbiaa kwenye ndoto na unawaona wale wenzio wote wanakimbia wakati hukwenda nao njia moja,kifo kipo na kuna maisha baada ya kifo.

Ukifikiria sana utajua kwa nini kifo.

Kifo ni kama recycling .unatoka stage moja unaenda ingine.
 
Wale wanaobaki bado(hai) still wapo kwenye space and time sababu ya concious a wareness waliyonayo ila aliyekufa hana ufahamu juu ya chochote kile


iPhone 7plus
Tuko sambamba.
Aliyekufa hana ufahamu wowote juu ya vyote japo mambo yanaendelea
 
Mpaka parapanda hiyoo...
Anhaaa.duh kumbe.

Basi kule kwetu ni kama unasubiri Mechi vile kuna kuwa na mawili matatu yanatokea kabla ya tukio husika.

Au kama mtu anasubiri kufanya tendo la ndoa kuna kuwa na mawili matatu (romance)kabla ya tendo husika.

Au kama mtu anayesubiri kunyolewa vile kuna kuwa na harakati za kutia tia majinnywele kabla ya tukio.

Au kama mama anayetaka kujifungua vile kabla ya kujifungua kunskuwa na harakati za hapa na pale kuelekea kujifungua.

Na vile vile kabla ya kiama kwa huku kwetu kuna harakati zinaanzia kaburini kabla ya kule kwenye shughuli yenyewe.
 
Nyie si ndio mkizikwa tuu anakuja bonge jokaaaa kukuviringisha halafu anakuja malaika mwenye bonge runguu anakupiga kichwani puuuh!!! Halafu anakuuliza "ulifanya nini duniani"...duuh kama ndio hivyo laz'ma uwaze saaana aseee!!!

Umezipata wapi hizi habari ?
 
Tuko sambamba.
Aliyekufa hana ufahamu wowote juu ya vyote japo mambo yanaendelea

Unajuwa haya mafundisho ya hizi dini ni ya kipumbavu sana kama hautumii akili kufikiri.Umeshawahi kujiuliza ulikuwa wapi kabla ya kuzaliwa jibu hakuna anayejuwa.Kwa sababu haukuwepo and the same ukifa unakuwa haupo


iPhone 7plus
 
Unajuwa haya mafundisho ya hizi dini ni ya kipumbavu sana kama hautumii akili kufikiri.Umeshawahi kujiuliza ulikuwa wapi kabla ya kuzaliwa jibu hakuna anayejuwa.Kwa sababu haukuwepo and the same ukifa unakuwa haupo


iPhone 7plus

Hapa umetumia akili mzee ? Hapa umetumia hisia na kupanga sentensi kwa kanuni za kimantiki,ila uhalisia uko dhidi yako.

Nipo .....
 
Wao wameyachukua huko ndio maana wanayasema..

Na wewe ulitakiwa uyachukue huko waliko ya toa wao.

Ushawahi kusoma "Elimu ya uhakiki wa habari ?"

Wewe huwa unatumia vigezo gani kuthibitisha kama habari fulani ni ya kweli au si ya kweli ?

Leo sitaki uniambie, "Nitakujibu siku nyingine"

Nipo ...
 
Back
Top Bottom