Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,871
nini maana ya kufa..?
Tunazungumzia juu ya kifo cha mwanadamu.
Definition ya kibaiolojia ni kukoma kabisa kwa utendaji wa "systems" zote za mwili.
Definition ya kidini ni roho na mwili kutengana, na roho kwenda Barzakh (soul grave) na mwili kubaki hapa duniani kwa mipango mingine.