Umeshawahi cheza hili game?

Umeshawahi cheza hili game?

saudari, unatoka nyeti zako zihamishiwe kwapani?
Ngumi ni noma, nakumbuka nilipambanishwa nigombane na jamaa mmoja katoka kijijini, enzi hizo nilikuwa nikisifika sana kwa ngumi za moto.
Nilimpa jamaa ngumi moja ya kidevu, badala ya jamaa kuumia, mimi ndiye niliyeteguka mkono, na kuanzia siku hiyo sitaki tena ngumi.
Mkuu game hii ni tofauti,hii inachezwa kwa remote control!
 
Hapana, ila hii inaonekana kama ni high tech uchawi ambao una exist only in Nigeria ama west africa. Yaani jamaa wana enjoy kuwa control misukule wao (hao watoto) kwa kutumia remote, hatari kweli. :A S angry:
 
We saudari nani steringi hapo kwenye huo mchezo?mimi au wewe?kama ni wewe sichezi ila kama ni mimi nacheza maanake steringi hauawi.
Mkuu ni kweli kabisa steringi huwa hauwawi,lakini huwa analegezwa!

Je uko teyari kulegezwa?
 
saudari, unatoka nyeti zako zihamishiwe kwapani?
Ngumi ni noma, nakumbuka nilipambanishwa nigombane na jamaa mmoja katoka kijijini, enzi hizo nilikuwa nikisifika sana kwa ngumi za moto.
Nilimpa jamaa ngumi moja ya kidevu, badala ya jamaa kuumia, mimi ndiye niliyeteguka mkono, na kuanzia siku hiyo sitaki tena ngumi.
Miye nakumbuka nilichapana makonde na jamaa, jamaa baada ya kuzidiwa si akanipaka pilipili machoni, mambo haya ni balaa.
 
Aisee sipati picha baba au mama wa watoto hao akipita hapo

Sasa chakushangaza anaweza akapita baba/mama halafu ukashangaa anang'ang'ania PAD na yeye anataka achezeshe.
 
Back
Top Bottom