Umeshawahi cheza hili game?

Umeshawahi cheza hili game?

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
Umewahichezahiigame.jpg
Kama haujacheza karibu tucheze!!!!!!
 
saudari, unatoka nyeti zako zihamishiwe kwapani?

Ngumi ni noma, nakumbuka nilipambanishwa nigombane na jamaa mmoja katoka kijijini, enzi hizo nilikuwa nikisifika sana kwa ngumi za moto.

Nilimpa jamaa ngumi moja ya kidevu, badala ya jamaa kuumia, mimi ndiye niliyeteguka mkono, na kuanzia siku hiyo sitaki tena ngumi.
 
Njoo tucheze hili.
 
hahahahahahaha jaman nmecheka mpaka basi.......nakumbuka tulikuwa tunapigana na twin wangu ucku tena gizani unapokuta mwenzako amekuvuta shuka lote na ww unamvuta ........ basi hizo ngumi zake ni hatar mpaka wazee wanaamka
 
We saudari nani steringi hapo kwenye huo mchezo?mimi au wewe?kama ni wewe sichezi ila kama ni mimi nacheza maanake steringi hauawi.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaha jaman nmecheka mpaka basi.......nakumbuka tulikuwa tunapigana na twin wangu ucku tena gizani unapokuta mwenzako amekuvuta shuka lote na ww unamvuta ........ basi hizo ngumi zake ni hatar mpaka wazee wanaamka

Huyo twin wako alikua ke/me?
 
Madamex usiombee yakupate, jamaa alikuwa amekomaa kichizi, akitema mate ate yake magumu kama jiwe.

Sasa mimi nilikutana na jamaa aliyekomaa mpaka pakutolea haja kubwa pamefutika.
 
Back
Top Bottom