Umeshawahi cheza hili game?

Umeshawahi cheza hili game?

We saudari nani steringi hapo kwenye huo mchezo?mimi au wewe?kama ni wewe sichezi ila kama ni mimi nacheza maanake steringi hauawi.

We huoni jamaa wameshika PAD halafu kamba ndo waya, game linanoga.
 
Ha ha ha, yaani nikute mtu kamshikia mwanangu rimoti anapiganishwa?
Nampiga yeye kwanza afu namfunga kwenye rimoti
 
Ha ha ha, yaani nikute mtu kamshikia mwanangu rimoti anapiganishwa?
Nampiga yeye kwanza afu namfunga kwenye rimoti

Je wakikushinda nguvu halafu wakakufunga wewe, naamini game litanoga.
 
Saudari alikuwa wa kike ....afu tulikuwa hatuelekezi vichwa pamoja ..tunalala mzungu wa 4.....basi ukistuka shuka halipo unavuta afu unapiga teke..basi hapo ni mateke kwa kwenda mbele...mkichoka mateke ndo ngumi zinafuata apo ni gizani hata taa hatuwashi...basi hapo kukurukakara zikizidi wazee wakiamka shughul yake ni pevu kichapo wote......yaan those days daahh...
 
habari ya ngumi mzee nakumbuka tulikuwa na zamu, sasa zamu yangu ikafika, wakati tumejipanga nikamwambia jamaa ngoja kwanza "mimi nitapigana ila kwa masharti haya.., ngumi za tumboni na puani hakuna" basi tulivyoanza tu..! jamaa akanitaimu ya tumboni mzee.. nikamwambia ahaae unapiga za tumbo? sinlishakuambia za tumboni hakuna. basi sipigani tena.
 
anataka hilo neno kwenye signature
free |www.globaladverts.biz ​
liwe clickable​

Ha ha haaaa!!! haya bwana. Mwambie its impossible. normal users hawana access ya kuweka links kwenye signature zao.
 
Nimekaribia nifundishe namna ya kucheza!

Game inaonekana nzuri sana!
 
Back
Top Bottom