Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nimejarbu kwenda huku ki ukwel cjapaelewa kabsa
 
Watu hawaleti marejesho kwakuwa hakuna cha ajabu walichoona na mmoja kaongopa eti iphone yake imeungua.
Kama we ni layman hakuna cha ajabu ukachoona utaona kawaida tu labda kama una issue maalum una hunt na unataka kujua huko ndo mahali pake na kama ni issue confidential ndio inahitaji uwe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…