Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Madmankache umeona nini kwenye deepweb?

KATOA MREJESHO HIVI
kiukweli sijaona chochote interesting ambacho huwez kukipata kwa browser za kawaida,labda ningepata issue maalum ya kusearch direct.nimeishia kusoma blogs mbalimbali zenye habari za kawaida sio za kutisha wala nini,nikaona hakuna cha kushtua nikaachana nayo.
 
main-qimg-fc1141c65ac2be5a103411616296382f-c


Safety precautions:

1. Dont trust anyone out there in the deep web.

2. COVER your webcam using tape.

3. Never download any files or software from deep web.

4. If you want some extra protection (or maybe) , type "about:config" in the address bar, scroll down to "Javascript_enabled" and change the value from "true" to "false"

5. Don't use Utorrent or any other torrenting services while surfing on the deep web.
 
Mkuu kwny cm naweza nkainstall hyo applictn nn Samsung s2
 
nimeona you tube ,,,,,,,,,duuh sio sehemu ya kuingia kama ww sio IT
 
Back
Top Bottom