Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Kuna uchafu zaidi ya huo, mpaka "r8p...r*Pe". Ni vizuri ukajifunza how to safely navigate the dark web usipojua utajikuta umeangukia kwenye vyombo vya usalama kwa sababu dark web ni kama mine field ambayo ukitembea bila kujua mines zimepandwa wapi utalipuka. _ _ _ _ _ ___ _ hatua zako.
Vp naweza kuinstall kwenye simu kiongozi?
 
Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.

Hata ukitumia traditional search engine kama google.com na yahoo.com utaweza kupata asilimia chache kama 20% ya information zote zilizo kwenye Internet. Kumbe kuna taarifa nyingi ambazo zipo kwenye mtandao ambazo hatuna access nazo, zaidi ya 80%.
Inakadiriwa kwamba ukubwa wa data zilizo kwenye deep web au dark web ni mara 400 ya taarifa zilizopo kwenye website za kawaida.

Deep web kumbe yaweza kufananishwa na pande la barafu linalo elea baharini ambapo ni kipande kidogo tu kitakacho kuwa juu ya maji na asilimia kubwa huwa chini ya maji na si rahisi kuiona.

NINI KIPO KWENYE DEEP WEB
Taarifa nyingi za kutishwa na kuogofya zinapatikana huko kwenye deep web, pia kuna mamilioni ya websites yaliyojaa uchafu wa kila aina.

Mfano ni website kama Hiden Wiki ambayo ni kubwa na ina taarifa nyingi zaidi ya normal wikipedia, Pia mitandao mingi inayo ishia na .onion inahifadhi taarifa za deep/dark web.

WATUMIAJI WA DEEP WEB
Watumiaji wakubwa wa deep web ni watu ambao hawataki taarifa zao zijulikane kirahisi mfano Wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, wanao fanya biashara za binadamu, wezi wa mitandaoni(proffesional hackers), majasusi, majambazi wa kimataifa, picha chafu za ngono na zisizo ruhusiwa n.k.

JINSI YA KU EXPLORER DEEP WEB
Ukitaka ku explorer deep web kwanza lazima uwe na Browser maalumu kwenye pc yako mfano Tor Browser inapatikana katika platform mbalimbali kama windows linux pamoja na mac. Fuata maelekezo ya kuinstall ukisha install Tor Browser waweza kuanza kupitia link zifuatazo.

http://7g5bqm7htspqauum.onion/ Hidden Wiki - Tor Wiki Hidden Service link collection
http://zgrl6sghf5jh37zz.onion/ Hidden Wiki - Onion Urls, Deep Web Links
http://xqrqbzhii6m6sdrv.onion/ OnionDir - Deep Web Link Directory
http://udsmewv45lunzoo4.onion/ TorLinks - Onion Links List Hidden Wiki mirror

Ukiweza kukamilisha kupitia baadhi ya link uje hapa utupe mrejesho.

Warning: Usitumie deep web if you are not brave enough.

Ahsante
Mm naona tukishafanikiwa madawati nchi nzima ndio tuanze hio deep sasa
 
kama hazipo indexed, hiyo tor inazisearch kwa kutumia mbinu gani?

kama nakumbuka kidogo, ukiandika web page unaandika maneno makuu kwa ajili ya bot za search engine iweze kuiindex labda na yenyewe itatafuta key words za kuongezea au catche ya page.

kuepuka search engine huweki hizo keywords, unaweka taarifa kwa mfumo wa picha n.k.

hivyo swali langu ni vipi bot ya hiyo tor inaweza kuziindex, na nawezaje kusurf huko katika namna kama hiyo.
 
Ukishapata link ya deep web, changua leya (fungua attachment uone layers) ipi unataka kuifikia. Hapa tupo kwenye common web au common layer. take note uwe na kifua
 

Attachments

  • DEEP WEB.jpg
    DEEP WEB.jpg
    13.8 KB · Views: 533

Similar Discussions

Back
Top Bottom