gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,602
Hehehehe we jamaa banaVipi kuna Youporn na Pornhub huko?

Kazi yake ndo hiyo deep webWatu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.
Hata ukitumia traditional search engine kama google.com na yahoo.com utaweza kupata asilimia chache kama 20% ya information zote zilizo kwenye Internet. Kumbe kuna taarifa nyingi ambazo zipo kwenye mtandao ambazo hatuna access nazo, zaidi ya 80%.
Inakadiriwa kwamba ukubwa wa data zilizo kwenye deep web au dark web ni mara 400 ya taarifa zilizopo kwenye website za kawaida.
Deep web kumbe yaweza kufananishwa na pande la barafu linalo elea baharini ambapo ni kipande kidogo tu kitakacho kuwa juu ya maji na asilimia kubwa huwa chini ya maji na si rahisi kuiona.
NINI KIPO KWENYE DEEP WEB
Taarifa nyingi za kutishwa na kuogofya zinapatikana huko kwenye deep web, pia kuna mamilioni ya websites yaliyojaa uchafu wa kila aina.
Mfano ni website kama Hiden Wiki ambayo ni kubwa na ina taarifa nyingi zaidi ya normal wikipedia, Pia mitandao mingi inayo ishia na .onion inahifadhi taarifa za deep/dark web.
WATUMIAJI WA DEEP WEB
Watumiaji wakubwa wa deep web ni watu ambao hawataki taarifa zao zijulikane kirahisi mfano Wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, wanao fanya biashara za binadamu, wezi wa mitandaoni(proffesional hackers), majasusi, majambazi wa kimataifa, picha chafu za ngono na zisizo ruhusiwa n.k.
JINSI YA KU EXPLORER DEEP WEB
Ukitaka ku explorer deep web kwanza lazima uwe na Browser maalumu kwenye pc yako mfano Tor Browser inapatikana katika platform mbalimbali kama windows linux pamoja na mac. Fuata maelekezo ya kuinstall ukisha install Tor Browser waweza kuanza kupitia link zifuatazo.
http://7g5bqm7htspqauum.onion/ Hidden Wiki - Tor Wiki Hidden Service link collection
http://zgrl6sghf5jh37zz.onion/ Hidden Wiki - Onion Urls, Deep Web Links
http://xqrqbzhii6m6sdrv.onion/ OnionDir - Deep Web Link Directory
http://udsmewv45lunzoo4.onion/ TorLinks - Onion Links List Hidden Wiki mirror
Ukiweza kukamilisha kupitia baadhi ya link uje hapa utupe mrejesho.
Warning: Usitumie deep web if you are not brave enough.
Ahsante
Install hiyo browser kwanza
Kivipi mkuu ufafanuz tafazali umeniacha njia panda na zenye kona kona.Achana na deep web kama hujui kujilinda.
Ukiingia kichwa kichwa unaweza kupoteza kila kitu.
Watu wa humo wana akili kuliko wewe unaeingia leo.
Jombaa hebu tupatie elimu kidogo. Kuna matatizo gani hasa huko deep web na naweza kupoteza nini?Achana na deep web kama hujui kujilinda.
Ukiingia kichwa kichwa unaweza kupoteza kila kitu.
Watu wa humo wana akili kuliko wewe unaeingia leo.
Kuna uchafu zaidi ya huo, mpaka "r8p...r*Pe". Ni vizuri ukajifunza how to safely navigate the dark web usipojua utajikuta umeangukia kwenye vyombo vya usalama kwa sababu dark web ni kama mine field ambayo ukitembea bila kujua mines zimepandwa wapi utalipuka. _ _ _ _ _ ___ _ hatua zako.
Huko noma sasa nabidi tusome hatari zakeWatu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.
Hata ukitumia traditional search engine kama google.com na yahoo.com utaweza kupata asilimia chache kama 20% ya information zote zilizo kwenye Internet. Kumbe kuna taarifa nyingi ambazo zipo kwenye mtandao ambazo hatuna access nazo, zaidi ya 80%.
Inakadiriwa kwamba ukubwa wa data zilizo kwenye deep web au dark web ni mara 400 ya taarifa zilizopo kwenye website za kawaida.
Deep web kumbe yaweza kufananishwa na pande la barafu linalo elea baharini ambapo ni kipande kidogo tu kitakacho kuwa juu ya maji na asilimia kubwa huwa chini ya maji na si rahisi kuiona.
NINI KIPO KWENYE DEEP WEB
Taarifa nyingi za kutishwa na kuogofya zinapatikana huko kwenye deep web, pia kuna mamilioni ya websites yaliyojaa uchafu wa kila aina.
Mfano ni website kama Hiden Wiki ambayo ni kubwa na ina taarifa nyingi zaidi ya normal wikipedia, Pia mitandao mingi inayo ishia na .onion inahifadhi taarifa za deep/dark web.
WATUMIAJI WA DEEP WEB
Watumiaji wakubwa wa deep web ni watu ambao hawataki taarifa zao zijulikane kirahisi mfano Wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, wanao fanya biashara za binadamu, wezi wa mitandaoni(proffesional hackers), majasusi, majambazi wa kimataifa, picha chafu za ngono na zisizo ruhusiwa n.k.
JINSI YA KU EXPLORER DEEP WEB
Ukitaka ku explorer deep web kwanza lazima uwe na Browser maalumu kwenye pc yako mfano Tor Browser inapatikana katika platform mbalimbali kama windows linux pamoja na mac. Fuata maelekezo ya kuinstall ukisha install Tor Browser waweza kuanza kupitia link zifuatazo.
http://7g5bqm7htspqauum.onion/ Hidden Wiki - Tor Wiki Hidden Service link collection
http://zgrl6sghf5jh37zz.onion/ Hidden Wiki - Onion Urls, Deep Web Links
http://xqrqbzhii6m6sdrv.onion/ OnionDir - Deep Web Link Directory
http://udsmewv45lunzoo4.onion/ TorLinks - Onion Links List Hidden Wiki mirror
Ukiweza kukamilisha kupitia baadhi ya link uje hapa utupe mrejesho.
Warning: Usitumie deep web if you are not brave enough.
Ahsante
Jombaa hebu tupatie elimu kidogo. Kuna matatizo gani hasa huko deep web na naweza kupoteza nini?
Natamani kujua hilo ndugu
Kivipi mkuu ufafanuz tafazali umeniacha njia panda na zenye kona kona.
Endelea kudadavuwa tunakusoma mkuu....!!Kama huna computer skills hasa kwenye kujilinda kwenye mashambulizi wanakudukua fasta sana.
IP adress ya PC yako inaweza kutrack hadi activities zako zote unazofanya kwenye PC yako.
Matapeli wa kufa mtu wapo huko.
Unaweza kununua kila aina ya illegal stuffs unazowaza dunia hii humo. Pitia "Silk Road".