Aisee! Mkuu ww kweli umeingia labda uwape onyo!Yani hata screen shot ukipiga inadunda,haifai kitu!! Ni kubaya jamani kunatisha! Halafu ukiingia usizibe camera na kidole wanaweza kuchukua fingerprint,na pia nahisi idara za usalama karibia zote macho yao yapo kodo kule kupiga doria...japo hata hao madeveloper wao ni noma sana!
Weka screen shotLeo nimetembelea huko deep web... dah kweli hapa duniani MWOGOPE SANA Mungu na technology
Sio kuzimu ni other side ya net former hakuna cha uzimuni ila ni kwa majasus na ma hacker.Mmmhhh hatar dunia hyyyyooo 'kuzimu'
Kwa kutumia simu ulifanyaje?Nimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
Mfano mzee na namna ya kuingia huko.umejitahidi sana mkuu.
Nafikiri next time utaelezea habari za Silk road.
Kuhusu browser ipo inayoingia huko iitwayo ONION BROWSER, inapatikana playstore.
Hakikisha una weledi wa kutosha kabla ya kuingia huko. Asante
Kwa nini?kiukweli sishauri watu hasa watanzania kutembelea deep webs jamani sio salama kule....stay away from its guys
Silk Road kuna nini nako? Ni site web au?Angalia kwa juu juu tu ,kisha potezea
Tahadhali muhimu ila kupita juu juu sio mbaya
Silk road hii ni hatari zaidi,inachunguliwa na agency kubwa like CIA ,ishafungiwa sana hii
Umevuta madawa ya dark web? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
Vipi, huwezi kula bata huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hujawahi kuingia usije ukajaribu kabisa huko ni zaidi ya kuzimu hakufai, narudia tena hakufai kabisa
Nilitumia PC. Kwa simu sijawahi kujaribu. Labda kama wana app yao ila kwa PC lazima u-download browser ya TOR ndio utafika huko.Kwa kutumia simu ulifanyaje?
Kwa upande wa simu unahitaji application mbili.View attachment 681897
Nilitumia PC. Kwa simu sijawahi kujaribu. Labda kama wana app yao ila kwa PC lazima u-download browser ya TOR ndio utafika huko.