Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nimesoma page zote 15 zilizodisplay kwa sim yangu, naomba kujuzwa kuhusu hii VPN ni nini na nafanyeje setup kwenye simu yangu au nifanyeje ili niwe na strong VPN mana naona walio ingia humo wamesisitiza juu ya hilo!!
 
Aseeee kweli kuna mambo makubwa yaani vitu navyoona hapa ni hatariii tupu
Mmmhh
Ama kweli Deep Web ni ulimwengu wa tofauti sikuamiani kitu nilichokisoma kule
b71d28061cdbb664492ada5f8d403248.jpg
 
Nilikuwa muumini wa deepweb sema ni nzuri kwa wasomaji, na watafuta habar na wafanya biashara.

Kuna baadhi ya vi changamoto kama profile za watu wa tz, ni vigumu kumtrace mtu background au mzizi wake ila kwa majuu inakuwa simple kwasababu kule mna kuwa na free databases ambayo unamchimba mtu fully.

Problem ingine ni pesa, kwa vile ni deepweb ukifanya busness mle kurushwa ni pie, na huwezi kulalamika maana ni deep sasa mpk uje ui convinces sheria iwekwako utazua mengine..

Solutions kubwa ni kuifanya iwe known ili iwe na user wa maeneo husika kushare experience...

Uzuri wa hizi sites ni kwamba dvjjnfhvjk
 
Deep web nimeisearch kawaida na kuisoma kidogo ila kama hujui kitu bora usizame huko hii web ipo dunia nyingine ridhika na kile upatacho hapa huko nadhani si salama kama hujui unafata nini.
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba kuna dunia 2
 
Watu wanambwembwe tu hakuna kinachoogopesha sana huko kwenye Deep web, chamsingi unatakiwa u download Tor browser kwenye website yao wanaeleza vizuri jinsi ya kujikinga na safety procedure unatakiwa ufanye, plus kama unaona hio haitoshi unaweza install extra VPN kwenye PC yako unaiwasha hiyo kabla ya kutumia tor pia inasaidia. Na mostly huko ni illegal staff zipo huko so usipende kudownload vitu na hakikisha camera ya pc yako unaiziba ili isiwe rahisi kuonwa.
 
Watu awaelewi. Mfano R ahisi ni sawa na channels za tv. Wewe una azamu na mwenzio Ana full package ya dstv.
 
Nimewahi kutumia tor browser, ila ilikua inachukua dakika 2 kufunguka. Pia kampuni niliyokua naifanyia kazi computer zake zilikua na kitu kinaitwa websense. Kilikua kinaminya downloads, pornographs, na website nyingine nyingi sana. But baada ya kuinstall hiyo tor browser (onion) niliweza kuaccess chochote over internet ya kampuni
 
Kuna uchafu zaidi ya huo, mpaka "r8p...r*Pe". Ni vizuri ukajifunza how to safely navigate the dark web usipojua utajikuta umeangukia kwenye vyombo vya usalama kwa sababu dark web ni kama mine field ambayo ukitembea bila kujua mines zimepandwa wapi utalipuka. _ _ _ _ _ ___ _ hatua zako.
Sidhani. Hizi ni tofaut na browser nyingine. Huwa hazitunzi kumbukumbu ya vitu ulivyovitafuta.
 
3f29446ed2676cc153c00a2520d06d24.jpg


IFAHAMU "DEEP WEB"

Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.

Hata ukitumia traditional search engine kama google.com na yahoo.com utaweza kupata asilimia chache kama 20% ya information zote zilizo kwenye Internet. Kumbe kuna taarifa nyingi ambazo zipo kwenye mtandao ambazo hatuna access nazo, zaidi ya 80%.
Inakadiriwa kwamba ukubwa wa data zilizo kwenye deep web au dark web ni mara 400 ya taarifa zilizopo kwenye website za kawaida.

Deep web kumbe yaweza kufananishwa na pande la barafu linalo elea baharini ambapo ni kipande kidogo tu kitakacho kuwa juu ya maji na asilimia kubwa huwa chini ya maji na si rahisi kuiona.

NINI KIPO KWENYE DEEP WEB

Taarifa nyingi za kutishwa na kuogofya zinapatikana huko kwenye deep web, pia kuna mamilioni ya websites yaliyojaa uchafu wa kila aina.

Mfano ni website kama Hiden Wiki ambayo ni kubwa na ina taarifa nyingi zaidi ya normal wikipedia, Pia mitandao mingi inayo ishia na .onion inahifadhi taarifa za deep/dark web.

WATUMIAJI WA DEEP WEB
Watumiaji wakubwa wa deep web ni watu ambao hawataki taarifa zao zijulikane kirahisi mfano Wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, wanao fanya biashara za binadamu, wezi wa mitandaoni(proffesional hackers), majasusi, majambazi wa kimataifa, picha chafu za ngono na zisizo ruhusiwa n.k.

JINSI YA KU EXPLORER DEEP WEB

Ukitaka ku explorer deep web kwanza lazima uwe na Browser maalumu kwenye pc yako mfano Tor Browser inapatikana katika platform mbalimbali kama windows linux pamoja na mac. Fuata maelekezo ya kuinstall ukisha install Tor Browser waweza kuanza kupitia link zifuatazo.
http://7g5bqm7htspqauum.onion/ Hidden Wiki - Tor Wiki Hidden Service link collection
http://zgrl6sghf5jh37zz.onion/ Hidden Wiki - Onion Urls, Deep Web Links
http://xqrqbzhii6m6sdrv.onion/ OnionDir - Deep Web Link Directory
http://udsmewv45lunzoo4.onion/ TorLinks - Onion Links List Hidden Wiki mirror

Ukiweza kukamilisha kupitia baadhi ya link uje hapa utupe mrejesho.

Warning:
Usitumie deep web if you are not brave enough.

Binafsi nilijaribu kuingia ila, mh!! Kama una moyo mwepesi usijaribu ndugu yangu.

KUJUA ZAIDI INGIA YOUTUBE SEARCH DEEP WEB KUONA VIDEOS ZILIZOPO DEEP WEB

Ahsante
 
vipi hiyo Tor browser naweza kuipata android ili niweke kwenye simu yangu?
 
Back
Top Bottom