gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 814
- 1,490
- Thread starter
- #141
Well said brother but without tor browser ni vigumu ku access hize web page za .onion yaani haiwezekaniHabari naona watu wengi mnahangaika its just simple thing.... deep web unaweza itumia anytime sio lazima uwe na hizo browser na kuna many useful information
But pia kuna black market miaka ya 2011-2012 walifungua online black market ikiitwa silkroad online na huko watu walikuwa wakinunua bidha tofauti kama drugs... weapons... passports and visa... na other services lakini mwishowe FBI wakaifunga na nyengine ilifunguliwa ila 2014 ikafungwa
I heard kuna silk road online 3 now but bado haijafungwa... kuna sellers zaidi ya elfu 10 wanauza service na bidhaa in very black way.... vingine hasa ni illegal porns na other ujinga
So jamaa walitengeneza njia ya kuifikia hiyo site yao ikupitia tor browser ambayo haisave history ya unachofanya na pia ina vpn ndani yake so internet service provider na gov... wanakuwa wanashindwa kukupata muhusika kwa urahisi...