Nimeweka link hizo ingiaa tuMnapenda sana kututisha.
Nimeona hii site http://applecnapoyjxomg.onion/index.php huko darkweb ya online shopping wanasema wanatumia escrow kama payment method,napata ukakasi kama kuna utapeli wowote kwa maana escrow ni trusted midle man wa online payments btn sellers and buyersNilikuwa muumini wa deepweb sema ni nzuri kwa wasomaji, na watafuta habar na wafanya biashara.
Kuna baadhi ya vi changamoto kama profile za watu wa tz, ni vigumu kumtrace mtu background au mzizi wake ila kwa majuu inakuwa simple kwasababu kule mna kuwa na free databases ambayo unamchimba mtu fully.
Problem ingine ni pesa, kwa vile ni deepweb ukifanya busness mle kurushwa ni pie, na huwezi kulalamika maana ni deep sasa mpk uje ui convinces sheria iwekwako utazua mengine..
Solutions kubwa ni kuifanya iwe known ili iwe na user wa maeneo husika kushare experience...
Uzuri wa hizi sites ni kwamba dvjjnfhvjk
Ni C&P angetusaidia onyesha njia za kufika deep webb kwa simu hapo tofauti ingepatikana!!..naona uzi wako umefanana kwa 99.9% na uzi huu wa mwaka 2016
Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?
You need to learn to create your own stuffs not copy and pasteNimeweka link hizo ingiaa tu
Tumekamatwa aiseeWale wa deepweb mmerudi au ndo mmekamatwa na FBI.