Tupe experience basihii mada iliwekwa hapa July 2016.niliposoma tu maelekezo toka kwa wachangiaji ya namna ya ku-access deep web,nikajipa ugangwe wa kujaribu kwenda kuchungulia yaliyomo kwenye hiyo "deep web".
nimeapa sitarudia tena kwenda kule.hatari sana.kiherehere changu cha kupenda kufatilia yasiyo kuhusu kimekoma kwa deep web.
For browser has its own vpn[emoji779]WARNING: It is unsafe to use these hidden wiki links without a VPN on your system. This is more dangerous. You will get busted once you access illegal content on the hidden world. To remain anonymous, run a powerful and most trusted VPN to protect your information.
Umetumia browser ganiNimejaribu kuingia lakin cha ajabu nikiingia sites nyingine zinaniambia leave my page
Is not easy like u thinkKumbe hata wapelelezi wakubwa kama FBI wanaweza kutambua sehemu gani biashara za madawa zinafanyika kwa kutumia hii deepweb kwa sababu kila kitu kipo wazi.....
sikuweza kuendelea ku-access deep web.haraka sana nili uninstall ile application yake iliyoniruhusu niingie.Tupe experience basi
Acha uoga dogoCuriosity killed the cat [emoji192] dead. I am just gonna stick being an ordinary dude with ordinary browsers. My world is darker enough why add some more mambojamboz! Leave me alone ooo.
Niache!Acha uoga dogo
Nilifika hukoUkitaka kupata baadhi ya web sites za deep web tumia duckduckgo au download app ya tor katika google play ukifungua uta download tena app nyingine automatic ktk google fungua alafu andika duckduckgo itakuja alafu andika deepweb zitakuja baadhi ya sites huku zikiwa zimepangiliwa vizur zipo nyingi chagua sites unayoitaka ni raha sana ukiingia huko ila onyo kuwa makini na sites nyingine
[emoji3].Nasikia kuna jamaa aliingia huko deep Web Kasim kakaanza kulia kama mbuzi.. Meeee...
Ukitaka kupata baadhi ya web sites za deep web tumia duckduckgo au download app ya tor katika google play ukifungua uta download tena app nyingine automatic ktk google fungua alafu andika duckduckgo itakuja alafu andika deepweb zitakuja baadhi ya sites huku zikiwa zimepangiliwa vizur zipo nyingi chagua sites unayoitaka ni raha sana ukiingia huko ila onyo kuwa makini na sites nyingine
Mkuu sio site nzuri hizoVipi kuna Youporn na Pornhub huko?
Yah kwenye movie inaonekana sana, nimeichek pia kwenye Quantico pale Perish alipokosa mtu yeyote wa kumwamini katika FBI akaamua kujielekeza huko kwenye dark webNilijua hii inshu nilipocheki movie ya Dope, dogo alipotaka kusell drugs akampelekea jamaa mmoja mzungu mtaalam akawambia wauze thru dark web (deep web) ndio nikajua kumbe kuna ulimwengu mwengine wa Internet tofauti na huu tuliouzoea..
Aseeee kweli kuna mambo makubwa yaani vitu navyoona hapa ni hatariii tupu
Kuwa makini mkuu utapotea ulimwengu huuVipi kuna Youporn na Pornhub huko?
Nenda mwwnyewe ukajioneeMbona wote hamyasemi
Kama kuna watu wameingi huko ni wachache sana wengine ni maneno tuu...