Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

fed7ef53aec39910ea42e271c9b83fb1.jpg
 
Mi huwa naingia kila siku uko..nacheck vitu vya hatari naenjoy sana..natumia kali linux os na tor browser..asante kwa mleta mada mana nilifanya hii kitu toka nasoma post hii mwaka jana
 
naombeni sites za maana za tor kwa .onion coz napata shida kutumia kama google. au kama kuna search engine ya tor peke ake i mean kupata website za .onion tu na si zinginezo.
thanks
 
Mi huwa naingia kila siku uko..nacheck vitu vya hatari naenjoy sana..natumia kali linux os na tor browser..asante kwa mleta mada mana nilifanya hii kitu toka nasoma post hii mwaka jana

Hongera kwa kuwa mtumiaji wa Kali

ila kuwa muangalifu usitizame CP hata kama unatumia Tor haupo safe, CIA wanaku deanonymize halafu hiyo Tor wanaachia updates zao kila mara natumai kila wanapoachia huwa una update
 
Mie nilifanikiwa kuingia ila kwa deep web niliinstall duckduckgo search japo sio mtaalam ila mmmmm hapafai maana
 
Kwa lugha zingine wanasema ni laana ikiwa utaenda huko kina sites zingine zipo zaidi ya wazi niliogopa kuingia zaidi maana nisije kudukuliwa bure nikatumiwa mionzi
 
Kwa lugha zingine wanasema ni laana ikiwa utaenda huko kina sites zingine zipo zaidi ya wazi niliogopa kuingia zaidi maana nisije kudukuliwa bure nikatumiwa mionzi
Mfano wa ulicho kiona ili na sie vilaza tuingie
 
Kumbe hata wapelelezi wakubwa kama FBI wanaweza kutambua sehemu gani biashara za madawa zinafanyika kwa kutumia hii deepweb kwa sababu kila kitu kipo wazi.....
 
Back
Top Bottom