Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

nasikia ukiingia humodeep web ukqchunguza sana wanaweza kukuua na mionzi ni kweli?
 
Kumbe naishi kijijini na sijui kitu. Leo ndii nimejitambua. kuna watu wanaishi duniani. ...
 
Achana na deep web kama hujui kujilinda.

Ukiingia kichwa kichwa unaweza kupoteza kila kitu.

Watu wa humo wana akili kuliko wewe unaeingia leo.
Ebu nifafanulie kupoteza kila kitu kivip mkuu...

Kama naingia naangalia then natoka uko how comes niwe matatizoni mkuu..? Ebu nifafanulie kidogo

0404
 
wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
Hahahaha vipi mkuu imeshafika uniazime nitumie kidogo..!


0404
 
Reactions: 7ve
Nimesikia...Ukitaka kununua silaha za hatari au kupata hackers wa kuvamia mfumo wowote ndo wanapatikana huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…