ila super administrator Dread Roberts wa silk road anasema hairuhusiwi kuuziana vitu vya wizi,counterfeit money,child pornography in short kufanya chochote kinacho harm innocent people.Nimesikia...Ukitaka kununua silaha za hatari au kupata hackers wa kuvamia mfumo wowote ndo wanapatikana huko..
Mambo ya cryptocurrency.One of the useful use of deep web in blockchain ambayo kupitia humo ndo dunia inatarajiwa kuingia ktk mfumo mpya kabisa wa kufanya miamala ya digital currency the like of Bit coin ,One coin etc etc
Tor browser ukiitumia ina hide IP yako na una surf anoynomously lkn Siyo guarantee 100% usiitegeme saana japo inaficha muhimu funga JavaScript yko sabb inaweza kureveal identity ykoMkuu iko hivi tor browser Ina VPN yake kwa hiyo ukiinstall inakuunganisha kwenye network yao na inakupa IP nyingine, kutumia tor Google my IP utaona kompyuter aonyesha upo sehemu nyingine.
Kuna niniNimejaribu kusoma hizi mambo za deep web.. kama we ni normal internet user please do not dare kuingia humo.
pm mtu anaetumia ID ya chief mkwawa, atakufunulia kila kitu kuhusu deepweb..............atakufunulia kila kitu hadi utakiona kisime cha deepweb!Mmmm natamani kujua zaidi ila naona maelezo ya mtoamada ni mafupi

Watu wanapiga pesa sana through thisMambo ya cryptocurrency.
nadisconnect waya zote za kwny umeme tuone kama haitazima![]()
![]()
Umeingiaje Jamani natamaniAiseee nimefanikiwa kuingia huko kwenye Deep Web kwa kutumia android huko ukiingia hautatatamni kutoka
Mbona simple tu kuingia mm ndio mtandao siku hizi kama vile "complete planet"as search engineUmeingiaje Jamani natamani
Sasa niambie nije na Mimi huko deep webMbona simple tu kuingia mm ndio mtandao siku hizi kama vile "complete planet"as search engine
Msaada kuna nini uko si utupe vituuuJambo la kwanza na jepesi tu, hebu jaribu ku login katika email address yako kwa kutumia browser ya tor. Majibu utakayoyapata njoo utuhadithie.
Kivip me mbona sjakuelewa jamaa kuna nn ukoNi hatari mkuu du! Niliyo yakuta huko jana hatari tupu, kama huna moyo wa chuma nakushauri acha kabisa iphone yangu nimeiunguza nikiwa humo deep