Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Hapana
Mimi nawapenda watoto wangu tena upendo uliopitiliza kiasi cha kutowaleta hapa duniani.

Am not selfish just like you.
Wengi wenu humu mnazaa kwasababu za kibinafsi tu

Fyatueni mkuu
Tutawasaidia kulea
You know what i mean.
mkuu mie c mbinafsi, ningekua ivo I hope kwa umri wng ningekua na hata 7 sasa.

Anyway, hatufanani
 
ha ha haaa...hzi dini zinatubana wkt kwenye Biblia hakuna hata mstari mmoja unaokataza kuoa wake wawili na zaidi...na watu wakubwa wa dini walioa mpk wake 700 achilia mbali masulia
 
Mtoa post uko sahihi,Ila nikushauri usizae na mwanamke mmoja,Chnganya NASABA yaan KOO kunafaida kubwa sana,Sababu mafanikio ya mtu pia huendana na asili yake
mkuu hizi dini za kigeni zimenipofusha asee...ila naungana na hoja yako. Mf hapa kuna mkasikazini anataka kid from me, ila ndo ivo dini inanivuta
 
[emoji1787][emoji1787]huu mziki noma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…