Hahahaaa!Ndugu zake mama, kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
Swahiba tosha yan tosha kabisa swahiba πSwahiba Mgagaa na Upwa hivi hizi sare sare zetu zinatosha kweli au bado kuna wengine wa uzeeni? π π
Cc: π€Hahahaaa!
Hahahaa. Kwa kweeli.Swahiba tosha yan tosha kabisa swahiba π
Famasiara nini,enough swahiba πHahahaa. Kwa kweeli.
ukiingia utaelewa tu somo
[emoji38][emoji38]kwanini za uzazi sasa shoga angu,tutapeana nyingine
Una bahati una mke anapenda kuzaa! We piga mpaka wa kike apatikane...mi mwenyewe ninao wa kike wanne! Lazima nirudiNilitamani kuwa na watoto watatu (03), kumbe wife anatamani kumpata mtoto wa kike, akapata ujauzito mtoto kuzaliwa akawa me! Nikafikiri tutaishia 4, akawa ananiambia hivi nikiugua nani atakuwa ananiosha nikizeeka? Nami namjibu dada zako Wana watoto wa kike kimasikhara tu lol! Kushtuka kitu tayari! Hapa nawaza asipozaa wa kike itabidi tuongozane akafunge. Hapo bado nina 1 niliyempata enzi za ujana.
You mean hao wa 3 ni kabla ya ndoa? Umetisha mkuuπNinahitaji Tisa TU. Tatu tayari Bado sita. Sita watapatikana kwenye ndoaππβοΈ
You mean hao wa 3 ni kabla ya ndoa? Umetisha mkuuπ
Yeah, hii ilikuwa part timeππYou mean hao wa 3 ni kabla ya ndoa? Umetisha mkuuπ
Muda ndio huu. Mficha "Chiu* hazai!I wish to have 4 ila mpaka sahivi nna 0 sijui kama ntatoboa 4π€
Safi sana endelea kuijaza dunia, ila uoe sasaπYeah, hii ilikuwa part timeππ
Inshallah Mungu atajaaliaMuda ndio huu. Mficha "Chiu* hazai!