Umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji mno!

Umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji mno!

Pole sana!!!!!! Mungu awape nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yenu mdogo...!

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi AMEN!!!!!!!!!
 
Leo jioni majira ya saa moja, maeneo ya mapinga Bagamoyo ilitokea ajali ya pikipiki kugongwa na daladala na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo Baba yangu mdogo na amefariki palepale, kiukweli it is very sad for us, na tupo kwenye kipindi kigumu sana

pole sana kwa kumpoteza nduguyo jikaze tu yataisha japokuwa yanaumiza sana..

"Uwe mwangalifu sana maeneo ya barabarani hasa Penye PIKIPIKI nyingi za BODABODA.."
 
Pole sana kiongozi,lakini jipe moyo,siku inakuja ambayo kutokana na mapenzi makubwa aliyonayo Mwenyezi Mungu kwetu Binaadamu,atawafufua wafu wote kutoka kokote waliko,hata sisi baada ya wakati wetu muafaka kutufikia.Hivyo mshukuru Mungu kwa mategemeo ya kukutana na baba mdogo kwa mara ingine.
 
Poleni sana wafiwa. Mungu awe nanyi kwa kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
 
Pole sana rafiki..mungu akupea ahueni ya moyo...mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu
 
poleni sana wafiwa, MUNGU awape moyo wa faraja katika hiki kipindi kigumu.
 
Pole sana kwa msiba. Tuendelee kuomba roho ya marehemu ipumzishwe mahali pema peponi, amina

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pikipiki ni janga la kitaifa. polen sana wapendwa. mungu awatie nguvu kipind iki kigumu
 
Pole sana jamaa yetu na mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki
 
Back
Top Bottom