Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Leo jioni majira ya saa moja, maeneo ya mapinga Bagamoyo ilitokea ajali ya pikipiki kugongwa na daladala na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo Baba yangu mdogo na amefariki palepale, kiukweli it is very sad for us, na tupo kwenye kipindi kigumu sana
Pole sana mkuu,ajali bila shaka imetokea jana jioni na sio leo jioni.