Umeona vifua hivi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeona vifua hivi ?

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaNanii, Aug 17, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wtu wanatanua VIFUA tayari kwa mpambano ! Ukikutana nao USIKU kwenye kichochoro shauri yako !
   

  Attached Files:

 2. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  zamani wakinadada walikuwa wanpenda sana wenye vifua siku hizi usipokuwa na hela we huna maana hata kama unakifua kaa kontena
   
 3. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni mambo ya kizamani hayo... Wanatanua kifua ili iweje?????? Hawana kazi hao kutwa kushinda kijiweni kubeba vyuma,jioni ndo wezi wenyewe hao.
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi gym wangewekewa askari polisi. ingependeza.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mabaunsa wa vijijini. badla ya kuekeza mda na nguvu zao kwene kilimo..
   
 6. serio

  serio JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  baaaaaaaaaaada ya hapooooo 582572_147999832004516_2044024594_n.jpg
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vifua vitumike kuimarisha uchumi.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kitu dona na saiti mila wat a meal....
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mmmh mambo ya zamani
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbavu Nene Hao!
   
 11. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 620
  Trophy Points: 280
  Mnawaonea wivu tu! Hapo hakuna Bp kisukari wala kansa. Hata malaria hayatii mguu,sembuse fangas! Ha! ha! ha! ha!
   
 12. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Unajua watu hawa wanahatarisha maisha yao kwa kubeba hii kitu bila vipimo maalimu hatimaye upande mmoja kifua kinatanuka ziadi ya mwingine.
   
 13. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  I like it...
  Mazoezi muhimu sana kwa afya siyo ili upate mademu.
   
 14. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu nadhani wanajiandaa na 2015,,,kwa mwanamke ukikutana nao msitu wa pande lazima uvue underweya
   
 15. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika kama wanabeba kwaajili ya mabinti na kukaba au vinginevyo, kama lengo lao ni kujiweka vizuri kimazoezi basi nawaunga mkono.
   
 16. S

  Sukula JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wala hakuna ubaya wowote,wanafanya mazoezi kwa raha zao hadi nawaonea wivu.
   
 17. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Namna wanavonyanyua haya makitu maeneo haya, ni wazi wanatumia hii nguvu kwa manufaa mengine. sio mazoezi tu haya.
   
 19. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,158
  Trophy Points: 280
  oi hawa wapo sawa tatizo Lishe naona hawajaweza kui balance so Wataishia Kukomaa na kupinda au kujaa ndivyo sivyo  [​IMG]
   
 20. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,217
  Likes Received: 8,292
  Trophy Points: 280
  ....halafu wanajiita mabaunsa!!!
   
Loading...