unaturudisha agano la kale na sharia law sio? kwa nini huyo pichani asiwe miongoni mwa walioonewa? kama kweli yanastahili kuwakuta kwa nini polisi huingilia kama hapo wanavyofanya hao? japo wanaonekana kufanya kinafiki. hizo adhabu wanaastahili kupewa na raia au dola? hivi unajua ukimuua aliyemkata albino mkono dola haitakusifu bali utaadhibiwa na dola?
ni kweli huyo pichani anaweza akawa muonewa...equally inawezekana kajisababishia matatizo...so we should not be conclusive.
Mara nyingi watu huchukua sheria mkononi kwa sababu ya kutokuwa na imani na utendaji wa vyombo vya sheria...then sheria inatambua manslaughter as opposed to murder..inatambua kuwa kuna wakati mtu anaweza akatendewa kitu ambacho it is likely to invoke uncontrollable anger
"you can choose to anger me, but you cant choose my reaction"