Umeona nini?

Umeona nini?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Hebu nawe cheki
 

Attachments

  • 11149244_10153235268788399_4180136899623752123_n.jpg
    11149244_10153235268788399_4180136899623752123_n.jpg
    30.4 KB · Views: 3,137
Pia na ww unatakiwa kusema na ww umejckiaje
 
Yawezekana taifa zima wanachukia wageni. Ila kiukweli nao wako wengi sana huko. Hiyo haimaanishi wao wafanye walichofanya
 
Huyo ni mtu mwenye jukumu la kulinda usalama wa watu kweli?!?!??!
 
Akichomwa mtu mweusi sawa.Angekuwa mweupe na sisi tungeshiriki kulaani. Mweusi mwenzako anachomwa unafurahia? Halafu tukitukanwa kuhusu ubinadamu wetu tunakuja juu.
 
Halafu ma babu zetu walipigana na kufa kwa ajili ya ukombozi wa mwafrika. Sijui kama ngozi nyeusi inakomboleka kokote duniani. Lakini ni binadamu wote tu ni wanyama, mbona waarabu,asians e.t.c. nao wana ukatili sana tu tena wao kwa wao.
 
Halafu ma babu zetu walipigana na kufa kwa ajili ya ukombozi wa mwafrika. Sijui kama ngozi nyeusi inakomboleka kokote duniani. Lakini ni binadamu wote tu ni wanyama, mbona waarabu,asians e.t.c. nao wana ukatili sana tu tena wao kwa wao.

Ningetamani Watu Wote Wakusikie Kwa Ulichosema
 
Sura ya tabasamu, mtu kutoa machozi...what is the difference? what matters is what one is feeling on the inside

Zlatan Ibrahmovich ana tabia ya kucheka anapokosa goli la wazi..Christiano Ronaldo huwa ananuna na kuipiga ardhi ngumi za maana...same situation, different reactions..can anyone tell me Zlatan anafurahia kukosa magoli?

Look at the Williams daughters..Serena (au Venus?) akiwini kombe huwa meno thelathini na nje yote mbili..wakati Venus (Serena?) huwa machozi yanamtiririka akishinda..think!!!!!Can anyone tell me Venus huumia akiwini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom