technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,716
- 58,860
Ni aibu kutumia trioni 1 kufanya chaguzi za kuua watu Kama anavyfanya Samia
Hebu cheki hapo wenzunu
Hebu cheki hapo wenzunu
Hahah mambo ya ajabu sanaSamuya anakuambia alipata kura 97%
Ajabu ni kwamba wapiga kura hawakujitokeza kutoka kwenda kumpigia kura, yaani tume ya uchaguzi ndio imepiga hizo kura hahaahh
mi nadhani ikiwa kuna gaidi anajitokeza na kuleta kimbelembele kuvuruga uchaguzi wenye uwekezaji wa zaidi ya trillion 1, nadhani njia muafaka ni kumneutralize na kumueliminate kabisa asiwepo tena kwenye chaguzi zote zijazo nchini, apeleke zawadi ya huzuni kwenye ukoo wake 🐒Ni aibu kutumia trioni 1 kufanya chaguzi za kuua watu Kama anavyfanya Samia
Hebu cheki hapo wenzunuView attachment 3700195
mi nadhani ikiwa kuna gaidi anajitokeza na kuleta kimbelembele kuvuruga uchaguzi wenye uwekezaji wa zaidi ya trillion 1, nadhani njia muafaka ni kumneutralize na kumueliminate kabisa asiwepo tena kwenye chaguzi zote zijazo nchini, apeleke zawadi ya huzuni kwenye ukoo wake 🐒
DAH. Nchi yangu imeshaanza kuzoea kula damu. Hadi CCM watoke madarakani lazima watu wengi wapoteze maisha. Upende usipende hiyo ndio habari.Ni aibu kutumia trioni 1 kufanya chaguzi za kuua watu Kama anavyfanya Samia
Hebu cheki hapo wenzunuView attachment 3700195
hakuna haja ya kubabaika wala kubembelezana na mtu ambae anadhani ana hati miliki ya vurugu au ghasia,kweli kabisa, waovuruga uchafuzi ni wahuni na hao wanaoufanya huo uchafuzi pia ni wahuni ila wenye silaha .
kwahiyo ugomvi wa wahuni unaenda kihunihuni na unawaachia wahuni wamalizane kihuni..
yetu macho tunasubiria political catastrophe ikimpendeza mola 😂 😂
hakuna haja ya kubabaika wala kubembelezana na mtu ambae anadhani ana hati miliki ya vurugu au ghasia,
you eliminate them so that others to move on softly towards building their nation democratically 🐒
ok mwalimu wa syntax 🐒gentromeni, nimekusahihishia maneno uliyoyawekea mafumbo..
"you eliminate them so that others has to move on softly towards building their wallets piecefully"..
Samia atawafanya mmwagikwe hedhi mbele ya wazazi wa waume zenu haki ya Mungu.Hakuna kipindi ambacho watanganyika waliuliwa kama uchafuzi wa mwaka 2025. Wakujichagua chura aka kizimkazi.
Kazi ni kipimo cha utu
Upigaji kura unaendelea au umemalizika
Others has.......ok mwalimu wa syntax 🐒