naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Sura ya tabasamu, mtu kutoa machozi...what is the difference? what matters is what one is feeling on the inside
Zlatan Ibrahmovich ana tabia ya kucheka anapokosa goli la wazi..Christiano Ronaldo huwa ananuna na kuipiga ardh!!!i ngumi za maana...same situation, different reactions..can anyone tell me Zlatan anafurahia kukosa magoli?
Look at the Williams daughters..Serena (au Venus?) akiwini kombe huwa meno thelathini na nje yote mbili..wakati Venus (Serena?) huwa machozi yanamtiririka akishinda..think!!!!!Can anyone tell me Venus huumia akiwini?
Huo sio mfano mtu anaungua anacheka unatetea!!!!