Umeona nini kwenye hii picha!

Hivi wanawake wana matatizo gani ya akili jamani? Sasa hapa kuna uzuri gani, miguu rangi ya mkaa, kutoka mapajani mpaka kichwani zeruzeru, si ukinyaa huu jamani? Kwa kweli Wema anawalostisha wanawake hapa mjini. Mwanamke kama huyu akija kosa mwanamme analia na kuanza kuwa msagaji huku akisingizia wanaume wa Dar si wanaume kumbe bahati kajifukuzia mwenyewe. Wanaume hawapendi mademu fake, never kwanza harufu tu ya mkorogo mwilini mwa demu inatufukuzisha.
Uko sahihi mkuu
 
Ndiyo maana mimi sichukui demu gizani kuepuka kulia na kujuta asubuhi mwanga unapotoka. Kuna mademu wengine wanaonekana weupe usiku wakiwa kwenye mwanga mdogo club, nenda naye nyumbani ukalale naye, unahamka naye asubuhi unakuta mwili mzima una rangi tofauti na huku ana ndevu, unaanza kulia kuhisi ulimkosea Mungu kwa kulala na mwanamme mwenzako kumbe ni madhara ya mkorogo tu. To hell with them.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom