Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
nimepita kila kona kukutafuta naona ni blocks tu. nimekuhamu sanaSio kwa kunifanyia hivi wewe[emoji22][emoji22][emoji22]
nimepita kila kona kukutafuta naona ni blocks tu. nimekuhamu sanaSio kwa kunifanyia hivi wewe[emoji22][emoji22][emoji22]
nimepita kila kona kukutafuta naona ni blocks tu. nimekuhamu sana
vurugu vurugu za mara jf imetaifishwa mara vile mimi nikatoka nduki hahaha au kupotea kwangu ndio wengine wakakuiba???Nimekuhamu hadi basi yani
Ni nini kujificha hivyo??
vurugu vurugu za mara jf imetaifishwa mara vile mimi nikatoka nduki hahaha au kupotea kwangu ndio wengine wakakuiba???
ndio nimerudi mama haya yote tutayajenga tena na ninavyokuaminiSasa wewe unaniacha siku zote hizo bila hata salamu?
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100 mkuu@Hajar: yuko makini sana mkuu Sesten Zakazaka mama wa maadili huyo hata comment zake nazikubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata la kiwete lina nafuuAhahahaaaaaa utadhani anatembelea magoti
Swaibaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Upo mkuu Kichwa Kichafu:Nimeona wakubwa wanafaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]usimtishe huoni ni rangi mbili kama amoxycillin😀😀😀😀😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]1. Kandambili
2. Goti rangi ya lami
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona mititi ambayo haijabustiwa na miguu myeusi kama ya black mamba.
Ahsante mkuuNakubaliana nawe kwa asilimia 100 mkuu
Ohoooooo huu uchochezi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemuona Ben Kinyaiya
Ndio nilimsikia mtu anasema hivyo mkuu Sesten Zakazaka:😳😳😳??????