Umeona nini kwenye hii picha!

Umeona nini kwenye hii picha!

Nleterewa hivi hicho kipodozi cha miguu tulichanganya na nini kingine.....mimi nakumbuka tuliweka mkojo wa sisimizi, machozi ya samaki, ulimi wa mamba, mkia wa sokwe na juisi ya pilipili kicha. Vingine ongezea [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi wanawake wana matatizo gani ya akili jamani? Sasa hapa kuna uzuri gani, miguu rangi ya mkaa, kutoka mapajani mpaka kichwani zeruzeru, si ukinyaa huu jamani? Kwa kweli Wema anawalostisha wanawake hapa mjini. Mwanamke kama huyu akija kosa mwanamme analia na kuanza kuwa msagaji huku akisingizia wanaume wa Dar si wanaume kumbe bahati kajifukuzia mwenyewe. Wanaume hawapendi mademu fake, never kwanza harufu tu ya mkorogo mwilini mwa demu inatufukuzisha.
 
Nleterewa hivi hicho kipodozi cha miguu tulichanganya na nini kingine.....mimi nakumbuka tuliweka mkojo wa sisimizi, machozi ya samaki, ulimi wa mamba, mkia wa sokwe na juisi ya pilipili kicha. Vingine ongezea [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo mchanganyiko si wa kutengenezea mlipuko, kweli humpendi rafikiyo.
 
Dude kama hili inaibuka nalo ucku; asubuhi utajutaje? Kitu rangi 2 khaaa

Ndiyo maana mimi sichukui demu gizani kuepuka kulia na kujuta asubuhi mwanga unapotoka. Kuna mademu wengine wanaonekana weupe usiku wakiwa kwenye mwanga mdogo club, nenda naye nyumbani ukalale naye, unahamka naye asubuhi unakuta mwili mzima una rangi tofauti na huku ana ndevu, unaanza kulia kuhisi ulimkosea Mungu kwa kulala na mwanamme mwenzako kumbe ni madhara ya mkorogo tu. To hell with them.
 
Mademu ya kuokota ucku nuksi; unaweza jikuta hata job hupati salary increment; na kama unatafuta kazi kwingine hata interview hawakuiti ha ha ha
 
Aje aige na hii [emoji53][emoji53][emoji53]
images%20(4).jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom