sema dada zenu wachonganishi au lah???? ni hilo tu!!!
Nyie hamfahamu tu. Mabinti wa Kiswidi ndiyo wenyewe.
Weupeeee hadi nyweleeee ahhh hadi kope. Kingozi cheupeeee, Mnyamwezi nimefika. Halafu uzuri hata mahali ya ng'ombe silipi. Sema tu viko sharp sana maana ukikituma dukani, usishangae kwa kipindi cha dakika 15 kikarudi kimeshamgawia mtu uroda.
Ila ndiyo alama kuwa mtoto ni mzuri na kama walivyosema wengine, utamu wa pilipili ni muwasho wake. Haya Wasukuma/Wanyamwezi, safisheni ngozi za wanenu ili mpate mahali ya mang'ombe mengi usukumani. Mwenzenu sikuwahi na sasa ni nimechelewa maana viza ya Scandinavia kwa mtu anaishi Mabonde kwinama, kazi kweli. Ila hata huyu Mnyangala wangu hapa, kwa kweli ni poa sana. Mtoto wa Shilinde family si mchezo ati......
asante, kiukweli I do ask myself many qns regarding hao
asnte tena kwa tip mama ushauri
Nyie hamfahamu tu. Mabinti wa Kiswidi ndiyo wenyewe.
Weupeeee hadi nyweleeee ahhh hadi kope. Kingozi cheupeeee, Mnyamwezi nimefika. Halafu uzuri hata mahali ya ng'ombe silipi. Sema tu viko sharp sana maana ukikituma dukani, usishangae kwa kipindi cha dakika 15 kikarudi kimeshamgawia mtu uroda.
Ila ndiyo alama kuwa mtoto ni mzuri na kama walivyosema wengine, utamu wa pilipili ni muwasho wake. Haya Wasukuma/Wanyamwezi, safisheni ngozi za wanenu ili mpate mahali ya mang'ombe mengi usukumani. Mwenzenu sikuwahi na sasa ni nimechelewa maana viza ya Scandinavia kwa mtu anaishi Mabonde kwinama, kazi kweli. Ila hata huyu Mnyangala wangu hapa, kwa kweli ni poa sana. Mtoto wa Shilinde family si mchezo ati......
Binafsi sina dada, ninao mabinamu tu. Ila kwa ujumla wake, suala la wifi kuwa na mdomo au kuwa mchonganishi linategemea na jinsi mwanaume mwenyewe anavyowaendekeza dada zake.
Unakuta mtu anajua kabisa dada yake mwenyewe ni nungayembe au gume gume lililomshinda mtume, ndoa yake haikudumu halafu eti anamwendekeza kwa kumsikiliza! Kwangu hakuna hiyo nafasi![/QUOTE]
kwenye red, hakika umewiva kwenye lugha duh!!!!! nimekoma mwenyewe.....
kwenye buluu umeweka sumaku....
thanks for this useful post waweja sana!!!
km uko siriaz..unataka kujua wasukuma wakoje,nadhani..Kabonde ameongea kila kitu kuhusu wao!..hao wengine mie nadhani wamepamba tu dada zao na wao...LOL!
...wasukuma sio wazuri kihiiivyo,wa kawaida..kwa kweli!..naaamini wanyamwezi,wachaga,wahaya(miguu of course!),na warangi wa Kondoa...wamewaacha mbali sana wasukuma kwa uzuri!!!
wanawake wa kisukuma sio wahangaikaji interms of shule na pesa..i mean..ni watu wa kuridhika saana,hata na kidogo!...moja ya sababu ndoa zao zinadumu!...sababu mwanaume ukiwa una authority..ndani ya nyumba,hawaku-challenge jambo lolote lile...
-wana upendo...
ni wachapa kazi,ukioa msukuma tegemea kukuta nyumba safi,...msosi wa maana...!wanapenda kufanya kazi za nyumbani,kwa nguvu zote na moyo wote...ni role...wanayoipenda kwa kweli.!!!..so yes wadada wa kisukuma...ni 'waolewaji'!
uc pretend ili akuone mzuri ilihali moyoni unahuzinika, utajitesa! ni bora kumpa ukweli heshima ishike mkondo wake, c wana ile dizaini ukipendeza umavaa wax lako bac ni kaka yao, umebadili hiki na kile bac ni kaka yao, sasa wewe ni wajibu wako kuwaonyesha kinyume chake, very cmple na heshima itatawala.
ckuiona hiyo mada Fidel, ni ipi?
Mwanaume kufua chupi na shumizi za mke wake vp hao wa Machame wanaweza nimlete dada angu aolewe huko?
Hivi na wewe mamushka unawaamini hawa.Hawa ni mabingwa wa rivasi.Huyu Fidel ndio mfuaji kufuli namba moja japokuwa bado hajaoa.2012 ndo sijui itakuwaje,atakuwa anaogesha kabisaaaaaaaaaa.in the name of love and only love Fide, haya yanawezekana mbona!!!!!
mie sioni nyie nini kinawafanya mkompliketi mambo hapa!!!
na wee undengereko upunguze sasa aaaah!!!
kwa kifupi wasukuma ni wazuri, kitabia ila inategemea sasa na mtu mwenyewe unataka mke yupi..
Hivi na wewe mamushka unawaamini hawa.Hawa ni mabingwa wa rivasi.Huyu Fidel ndio mfuaji kufuli namba moja japokuwa bado hajaoa.2012 ndo sijui itakuwaje,atakuwa anaogesha kabisaaaaaaaaaa.
na kweli......Hivi na wewe mamushka unawaamini hawa.Hawa ni mabingwa wa rivasi.Huyu Fidel ndio mfuaji kufuli namba moja japokuwa bado hajaoa.2012 ndo sijui itakuwaje,atakuwa anaogesha kabisaaaaaaaaaa.
na wee undengereko upunguze sasa aaaah!!!
Honestly, kuogesha raha sana!
Nyie wakidhungu hatuwawezi bana bora nife na Msukuma wangu kwangu ameoza.
Hasikii la kuambiwa eti ooh fidel anatumia mtandao hatari yeye hajari amefunga maskio kwangu hapa amefika anapewa kila kitu anacho taka haniambii nimfulie chupi wala shumizi anatambua kuwa huo ni wajibu wake kama mwanamke subilini harusi 2012 karibuni nyote.
Vingine vipi hivyo? 🙂