Kwa nini uliachana na mpenzi wako kabla yangu?
Swali la
Kikuda hili
oooooh sasa hapo si sawa inabidi umtumie tu
Halina ukuda wowote vinginevyo wewe ndo mkuda
Hahahah aksante mkuu, ntamtumia.
Hapo jibu litatoka kutokana na mood ya siku hiyoHahahah..wewe unajibu ninini? unadanganya au unasema kweli? Au hujibu kitu.
hahahhaha duuu....yani mi sipend kabisaaa maswali ya kijinga kama hayo....Mimi sio sipendi naona huwa nachoka tu mtu akiniuliza leo umevaa pichu rangi gani,bra rangi gani. Bora now nimejipumzikia aaah.
Halina ukuda wowote vinginevyo wewe ndo mkuda
Inabidi niwe napiga picha, kila siku nimtumie picha mpya, nsije nkaachwa bure. mkuu umenifurahisha sana, kwani nawewe huwa unaomba utumiwe picha na shemeji? huwa anakujibuje?hapo sasa sawa mwenzio kakumiss afu we unambania shauri yako watatuma wengine
Jitahid liwe laini, nahisi litakua sio attractive kabisa..kama alikuudhi kitu basi ategemee mmomonyoko wa maadili ndali ya jibu utakalompa. hahahaaaHapo jibu litatoka kutokana na mood ya siku hiyo
Inabidi niwe napiga picha, kila siku nimtumie picha mpya, nsije nkaachwa bure. mkuu umenifurahisha sana, kwani nawewe huwa unaomba utumiwe picha na shemeji? huwa anakujibuje?
Basi bora jibu lisitoke kabisaJitahid liwe laini, nahisi litakua sio attractive kabisa..kama alikuudhi kitu basi ategemee mmomonyoko wa maadili ndali ya jibu utakalompa. hahahaaa
Huwa unauliza nini mkuu, utakuwa unaambulia majibu fake tu; bora usiulize. Naona umejibu kwa nguvu kweli
Safi sana aisee, nadhani shemeji anafurahia kuwa nawewe kwani unaonyesha kumwelewa sana. Hongera sana mkuushemeji mimi naishia kusave zilizopo kwenye profile .. huwa anajibu hana picha ila najua ni mvivu kupiga picha na pia nahisi ni mtu yupo bussy sana nikiomba mara moja sirudii tena nisijemuudhi... ila mimi napenda awe ananitumia picha....
Akuuu mpenzi wangu alikuwaga bikra nnapoanza nae
Safi sana aisee, nadhani shemeji anafurahia kuwa nawewe kwani unaonyesha kumwelewa sana. Hongera sana mkuu
Kwani yeye huwa anakuuliza nini? na unamjibu ninimmmh sina uhakika ila i hope so...