Umenionea Kiatu Changu?

Umenionea Kiatu Changu?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
MSAKO.JPG
Mdau akisakanya kiatu chake ndani ya Bwawa.....yataka moyo
 
nakisaka tangu jana, nilianguka hapa, kama kuna mtu anaishi karibu na bwawa huenda kimeshafika kwake
 
hilo ni bwawa au mtaro?, hata hivyo atakuwa ameangusha simu kiatu asingesumbuka hivyo
 
jamani nimesema katu, mbona mwantia maneno?
 
KIKITOKA KIMEHARIBIKA UNAKARIBISHWA HAPA
sssssssssssssssssssssssssssssss.jpg
 
Back
Top Bottom