Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kukata frifge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa name usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au MziziMkavu and wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba rule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Mpe mpe vidonge vyake mpeeee akimeza akitema shauri yake ila akiendelea na tabia yake nipm nikuchukue uwe wangu....mfyuuuuuuuuuuuuu zake anayekuacha alone
 
......huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako
Hahaha! Hawana jema hawa.
 
Haaaaaaaawe! Hamkawii kwenda kujitapa kwa mashoga zako kama " unaona nimeshika huyu na haondoki nyumbani bila ruhusa yangu"
Unashangaa unadhalilika hivi hivi

Afu ndo walivo sijui wakoj awa viumbe,...kwa mfano unaweza kua na girlfriend unampigia cm apokei,anakuwaada kwa wenzake angalia ili lijinga,..sasa ukikaa kimya upigi cm anasema umemsusa,...eti WTF Bwahahahaha
 
......huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako
umemaliza kabisa....kwanza mkishinda home siku nzima pamoja lazima mzinguane..... unapewa kamuda kafupi tuu over the weekend.......nani kamuoa mwenzake.....
 
Back
Top Bottom