Umemuelewa vipi January Makamba?

Umemuelewa vipi January Makamba?

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,699
Ukisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??

"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "

Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.

Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.
 
Umepatia 😀dressing room hapa ni wapi? Lumumba au?
 
Back
Top Bottom