Huo ni uchonganishi, lakini si ndio mapenzi yetu makubwa watanzania, unafiki,fitina na kuponda kila kizuriaUkisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "
February Maropes at his best. Direct message to Uncle jiwe. Regime change 2020.
Kwi! Kwi! Kwi!alikuwa anaongelea ishu ya Mourinho, hakuna issue nyingine hapo.
Yaani iyo kwa kiingereza tunaita long range kwenye soccer uaani ukiona adui amebana kila sehemu kama striker makini utakiwa kusubiri ndani ya 18 unapiga nje ya box eeh eeeh kwako mwl.kashasha hahahaha kila rangi tutaiona kwa jpm duuuhJanuary ni kama mwal kashasha kumuelewa ni kazi sanaaa
uko poaUkisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "
Baadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.
Nimeelewa. Kuna harufu ya regime change 2020, magu out
Haupo sahihi,wanapata nafasi ya kudandia kwa sababu ya kukosea kwa serikali. Yaani CDM wanatumia makosa ya serikali kushine,na mbaya zaidi ni makosa ambayo yangeweza kuzuilika bila gharama yoyote ile.Baadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.
Ukisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "