Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,717
- 44,114
Mbona yake matamko ya Mabeberu hajayajibu mpaka leo?Na ujumbe utakuwa umefika, kuna siku atajibu kwenye hotuba zake.
Mbona yake matamko ya Mabeberu hajayajibu mpaka leo?Na ujumbe utakuwa umefika, kuna siku atajibu kwenye hotuba zake.
Wanajua tabia za vichaa na watu wenye stress!.Kwnn wanamfumbia magu lkn, zi wamchane tu?
nita muelewa january 2019.kwa sasa sijamuelewa
Anamjua jiwe in and out!.Makamba atabaki hapo na hana haja ya kujiandaa kisaikolojia ....jiwe hatomgusa huyo
Hakuna njia nyingine iliyobaki zaidi ya kutumia kizungu!.Kamchokonoa tena... Kamsimanga kizungu....!!!!
Mbona yake matamko ya Mabeberu hajayajibu mpaka leo?
Mtag Ally BashiruWapenzi wa Magufuli tukutane hapa
Yes pia jiwe amekaa pale kwa figisu za huyo huyoAnamjua jiwe in and out!.
Mkuu mtuu akisoma hii maelezo yako atajua kabisa wewe ndiyo una msongo wa mawazo zaidiBaadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.
Ingekuwa vema mkawa pia wpenzi wa taaifa Tanzania. pengine nyie ni vijana na siku akirudi kwa baba hamtakesha kwenye grave au mkachonga sanamu kulisujudu! basi ingefaa mkajiandaa kujenga taasisi mkaipa jina lililo kuu TZWapenzi wa Magufuli tukutane hapa
Ukisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "
Tupooo....tunacomment vipi sasa😅😅Wapenzi wa Magufuli tukutane hapa
Ndo maana Jiwe anahangaika tu na Polisi sasa hivi
Ukisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "
Mimi siji.Wapenzi wa Magufuli tukutane hapa
YametimiaFebruary Maropes at his best. Direct message to Uncle jiwe. Regime change 2020.
February PM