alikuwa anaongelea ishu ya Mourinho, hakuna issue nyingine hapo.

Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.
Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.

Zoba, usimlishe manenoNimeelewa. Kuna harufu ya regime change 2020, magu out
Na ujumbe utakuwa umefika, kuna siku atajibu kwenye hotuba zake.

Nimeelewa. Kuna harufu ya regime change 2020, magu out
Baadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.

Ukisoma katikati ya mistari(reading between the lines), unamuelewa vipi Muheshimiwa January??
"Mourinho’s failure at Manchester United isn’t related to footballing but to leadership:
Failure to inspire, to unify, to motivate, to accommodate, to compromise, to manage egos, to adapt to changing circumstances, to judge talent.
You lose the dressing room, you lose on the pitch "
Wewe ndio umesema,lakini yeye kama msaidizi wa Magu,labda ameshutukia jambo la jipu akamua kujianika mapema.Mnataka kumgombanisha na magufuli
Baadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.
Kwa habari za ndani tulizo nazo Benadi atakuwa kampeni meneja wa mnene 2020Wapenzi wa membe tukutane rock city mol, ninyi team jiwe bakini hapo hapo makaburini
Mabeberu tuna comment wapi??Wapenzi wa Magufuli tukutane hapa
Naona sasa unamtakia mabaya kijana!!Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.
Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.
Mbona hamlipendi jiwe hivyo?Nimeelewa. Kuna harufu ya regime change 2020, magu out
it goes without saying......Nimeelewa. Kuna harufu ya regime change 2020, magu out