Baadhi ya vijana wa kitanzania ni WAPUMBAVU SANA, wanategemea kubadilisha utawala wasioupenda kupitia JAMII FORUMS?, kuna jamaa mmoja nimekutana nae Dar Bar moja maarufu katikati ya jiji, yeye alikuwa anaamini hata kabla ya mwezi wa kwanza mwakani European Union na US wangekuja kumuondoa JPM madarakani, nimemsikilizaaaaaaa baadae nikamwambia ajaribu kwenda kumuona daktari, yawezekana ni msongo wa mawazo.Ukisoma post za watu hapa kuna watu wanaamini 2020 kuna mabadiliko kwenye nafasi ya uraisi.Mliambiwa mapema wakazanie viongozi wenu wa upinzani mapema wapiganie tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, nyie kila siku mnadandia kila STORY inayoletwa, mara vitambulisho vya machinga, mara Mnyika ni John wa kwanza, mara Mo katekwa na CCM, mara Membe for 2020,wiki iliyopita ni barua za European Union na US, na niliwaambia kabla ya CHRISTMAS mtaletewa movie nyingine tofauti mtakuwa mmeshasahau. Narudia tena wengi wenu humu ni WAPUMBAVU, aliwaambia Mzee MKAPA kwenye kampeni 2015 na mimi nitakaa nawakumbusha kila mara, sitachoka kuwakumbusha u NYUMBU wenu. Mnaishi kwa matukio tu, hamueleweki mnasimamia nini.JPM yupo mpaka 2025 kama hutaki hama nchi kwa muda, vinginevyo utakufa kwa stress bure tu.