Umemsikia Robert Mugabe!?

Bange mbaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo Zim inaongozwa kwa mfumo wa KIFALME (MONARCH) ama circular? Kama ni hivyo washona na wandebele wanaweza kuwa na viongozi wao pia!!!
Hilo jibu nimelipenda.
 
BBC nao ni wanafki tu vibaraka wa mataifa ya huko kwao

Japo sipendi Mugabe anavyokomaa madarakani ila kama anapigania maslahi ya watu weusi tofauti na hawa viongozi wetu mi naona poa tu...bora zimwi likujualo...
 
Sipendi uditekta wa Mugabe, ila majibu yake yaninifurahishaga saaanaa and the guyz English is on point hadi raha kumsikiliza
 
Sipendi uditekta wa Mugabe, ila majibu yake yaninifurahishaga saaanaa and the guyz English is on point hadi raha kumsikiliza
Nakumbuka 2008 Mugabe alipohojiwa na waandishi wa habari mmoja wao akamwambia "Muheshimiwa si uchukue fursa hii kuwaaga wananchi wako" Mugabe akamjibu niwaage hao wananchi kwani wanaaenda wapi? hahaha Mugabe kwa majibu namkubali sana mzee huyu
 

Usijidangaye wew inaonekana Sio mzuri kwa Geograph! Africa yote ndo yenye utitili wa Mali! Hao wazungu hawana sababu ya kuibamia Zimbabwe na wameshindwa kutengeneza sababu ya ya kumvamia kwani wao wanajua fika kua ndo wenye Makosa na Mugabe yuko sahihi!
 
Ninyi mnaosema mugabe jembe, kichwa n.k mnaelewa tofauti kati ya malkia na rais?

Wewe unaelewa tuambie Basi! Mugabe atabaki kua jembe na Simba wa Africa daima!
 
Sipendi uditekta wa Mugabe, ila majibu yake yaninifurahishaga saaanaa and the guyz English is on point hadi raha kumsikiliza

Hakuna Dikteta Africa ila Madikteta wanapatikana Ulaya na Marekani!
 
Mugabe kwa majibu tu ananipa raha. Kawajua wazungu na hila zao siku nyingi sasa akiwaambia ukweli wanakasirika.
 
very philosophical reply to that puppet. Mugabe hoyeeeeee.....
 

Huyo alikuwa IDD AMIN bana usimchafue ROBERT wetu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…