Mlevi alipita mtoni akakuta watu wanabatizwa,mlevi akajua kuna kitu wanakitafuta kwa kuwa mchungaji alikuwa anawazamisha na kuwatoa kwenye maji,mlevi naye akapanga foleni ilipofika zamu yake mchungaji akamzamisha alipomtoa akamuuliza,vp umempokea yesu?mlevi akajibu hapana, akamzamisha tena akamuuliza, umempokea yesu?mlevi akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza umempokea yesu? mlevi akasema mchungaji una uhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana tu.