Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,144
- 100,728
Sijui yupo wapi 🥺😰😭Na mimi nimemiss Fake P
Nitumie nauli😉Tapeli wewe kila siku upo Mjini hutaki Kuja.🤣🤣
Dah!😃😃Tapeli wewe kila siku upo Mjini hutaki Kuja.🤣🤣
Wewe tapeli kila nikija Kigamboni unazima simu. Usiniongeleshe 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Nilitaka nikutaje kumbe ushatajwa na wenye mali zao
🤣🤣🤣 Mxiiiiiieeeeeew!! Bora manka Hope urassa ameokoka aniambieNitumie nauli😉
Fix sana we libaba.🤣🤣Dah!😃😃
🤣🤣🤣Umeanza lini majungu kama hivi mywangu?Nilitaka nikutaje kumbe ushatajwa na wenye mali zao
Hapana nina majukumu mazito sana najikuta napita JF chap halafu narudi majukumuni ila nipo sana tySanaaaa, ni muda sijakuona au tunapishana?
Hahahaha,kuna sehemu nimehamia wananifundisha😂🤣🤣🤣🤣Umeanza lini majungu kama hivi mywangu?
Naomba urudi mzungu wangu,hayo mambo ya majungu achie uswahiliiniHahahaha,kuna sehemu nimehamia wananifundisha😂🤣
Hahahahaha narudi muda si mrefu ,huku uswazi niko kazi maalumNaomba urudi mzungu wangu,hayo mambo ya majungu achie uswahiliini
Vidada vya huko vimeshangamka unaweza ukatekwa tukajua umechukuliwa na wasiojulikanq....wana videla vyao hivyo vinavaliwa chukuchukuHahahahaha narudi muda si mrefu ,huku uswazi niko kazi maalum
Duh, sawa na hongera kwa majukumu hayo ya Kulijenga Taifa.Hapana nina majukumu mazito sana najikuta napita JF chap halafu narudi majukumuni ila nipo sana ty
Hahahaha, juzi kati nilialikwa uswazi huko ndani ndani kulikua sijui arobain ya mtoto mixer birthday,...aisee sidhani km walivaa kitu ndani wale wadadaVidada vya huko vimeshangamka unaweza ukatekwa tukajua umechukuliwa na wasiojulikanq....wana videla vyao hivyo vinavaliwa chukuchuku
Kipindi cha nyuma kulikua na wadada wana mahaba🤔nipo hb wangu