Umemmis nani hapa Jf?

Frankly writing namkumbuka sana Madame B. Kuwa kwake hapa jamvini huleta changamoto sana. Sijui nifanyeje arudi mapema Preta amekuwa bize naye hata mwandiko wake hapa jamvini ni wa kuvizia. Au ndiyo yale mambo yale nini? JF haizuiliki wape makavu!
 
Last edited by a moderator:

kaka Arushaone Madame B alikuwa na msiba mzito sana,tumshukuru kaka Nicas Mtei alituwakilisha vema,tuko pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
VIGELEGELE NDIYO FURAHA ***** OOHOOOOO
UTAMU WA NGOMA NI KUSHANGILIA EH OOOHOOO
KUTOKEA EH..... KWA ODM EH
KWA WINGI OH ***** OOOHOOO KWA WINGIII
NJOO UONE MAMAEEE FURAHA OH..........

I love you too my darling and dear wifey BADILI TABIA.

MMMMMMMWWWWWAAAAAAHHH!!!!:mwaaah:

:A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…