MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Hakuna umeme mkoa wote wa Mwanza hivi navoandika. Tangu wiki jana umeme umekuwa unakatika hovyo pasipo taarifa yeyote. Tanesco twambieni kuna tatizo gaoi Mwanza?? Hii kuku inaitwa Ngeleja ningekuwa na mashine ningesha ipeleka mahala pake pa mapumumziko ya milele faster(si inakujaga 84)... Yani inakera sana hii mijitu.